Kuna shida gani, kama wewe hufaidiki kuna watu wanapata riziki zao, kuwa mpole zamu yako itafikaHuyo ndo makonda ninayemjua mimi hapoi kwake yeye ni kazi kazi tu
Wewe lazima utakuwa Mrisho GamboHeshima sana wanajamvi,
Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana.
Makonda alianza na harakati za vipimo (Matibabu) katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Zoezi hili lilileta faraja hasa wananchi wa kipato cha chini.
Zoezi la upimaji halikuwa na karaha kwakuwa lilifanyika sehemu sahihi.
Makonda hapoi kaazisha haraka za nyama choma.Harakati hizi liliambatana na kufungwa baadhi ya barabara maeneo ya Clock Tower kuelekea zilipo ofisi za halimashauri ya Jiji.
Msongamano wa magari na ukosefu mkubwa wa maegesho ya magari ilikuwa karaha kubwa na usumbufu wa kujitakia.
Makonda kanzisha mashindano ya pikipiki ambayo yalisababisha vifo kwakuwa pikipiki zilizotumika katika mashindano hayo hazikuwa na ubora wa kuhimili mashindano.
Makonda kaanzisha tena Land Rover festival akitaka kuweka rekodi iliyokuwa na maana yoyote kwa maisha ya mtanzania.
Makonda tena karejea mchezo wake mchafu wa kufunga barabara maeneo ya Stadium na Kaloleni hakika mji wa Arusha umekuwa mchungu kupitia zoezi hili la kufunga barabara nyingi na kuwaacha wakazi wa Arusha wakimshangaa Makonda na team yake ya wataalamu wasiokuwa na utaalamu.
Sasa wewe ulitakaje maana hueleweki.Heshima sana wanajamvi,

Wananchi wa Arusha wanasemaje?Heshima sana wanajamvi,

Ndiyo tabia ya viongozi wa afrika. Working hard in their own way. Wapambe watakwambia ni ubunifuHeshima sana wanajamvi,

Heshima sana wanajamvi,

Na atabamizwa tena na wajumbe hataamini macho yake huyo BashiteKila anakoenda anautaka ubunge
Kama kule kigamboni.Na atabamizwa tena na wajumbe hataamini macho yake huyo Bashite