Mbona huulizi ile operation ya usafi?Makonda alitangaza vita dhidi ya mashoga watu wakapata matumaini
Lakini mpaka leo hii mashoga wanapeta huko mitandaoni na mitaani
tena wakijitangaza live
Hivi makonda kazi yako ni kutafuta kick ama maana haiwezekani wewe kila siku unaibuka na mapya
Hivi ile kampeni dhidi ya mashoga imeishia wapi?
Vipi kuhusu kutusafirisha bure sisi maticha ktk jijj la kandoro?Hebu na wewe toka hapa na vijimada visivyo na mashiko. Eti 'watu walisubiri kwa matumaini sijui mashoga nyoko nyoko nyoko nyoko' we mashoga wanakuwasha nini kama tunavyowashwa sisi wanaume na poda?
Sio kila jambo ni la kukosoakosoa tuuuuu mchana kutwa. RC awe ameanzisha kwa kutafuta kick au kwa dhamira ya dhati, anapaswa kuungwa mkono. Haya madawa ndio yanafanya wengi wenu hamna akili kichwani kwani bangi zinazovutwa next door ndio zimekufanya ulete huu ufukunyuku hapa
KikiiiiiiiiiiiiiiiKutokomeza shisha
Walimu kupanda daladala bure
Sasa ni dawa za kulevya.
Wanaosema anatafuta Kiki kama wapo sahihi vile!
Haliishi moja, anaanzisha lingine