kwani wewe unadhani kiongozi akifika kila jambo atalimaliza hapohapo mambo mengine ni mchakato siyo papo kwa papo.Amechukua hatua gani? Au amekwenda tu kujionea km ulivyo andika.
Niliwahi kucomment hapa mwaka jana kwamba huyu jamaa apewe mkoa maana naona wilaya si zaidi yake kutokana na kasi kubwa aliyonayo but jamaa hapa wakanishambulia, kiukweli sasa ukuu wa mkoa ataupata tu maana hakuna namna.Namkubali sana makonda kwenye utendaji wake wa kazi safi sana dogo.
maneno kama tupo katika mchakato, hizo ni changamoto , tutayafanyia kazi na mengineyo hayaitajiki kabisa zaidi ya hapa kazi tuuu""kwani wewe unadhani kiongozi akifika kila jambo atalimaliza hapohapo mambo mengine ni mchakato siyo papo kwa papo.
Kipi cha maana mkuu amefanya apewe mkoa?Niliwahi kucomment hapa mwaka jana kwamba huyu jamaa apewe mkoa maana naona wilaya si zaidi yake kutokana na kasi kubwa aliyonayo but jamaa hapa wakanishambulia, kiukweli sasa ukuu wa mkoa ataupata tu maana hakuna namna.
Acha upambe nuksi, unamkubali kwa lipi la maana alilowahi kulifanya?Namkubali sana makonda kwenye utendaji wake wa kazi safi sana dogo.
tena apewe dsmNiliwahi kucomment hapa mwaka jana kwamba huyu jamaa apewe mkoa maana naona wilaya si zaidi yake kutokana na kasi kubwa aliyonayo but jamaa hapa wakanishambulia, kiukweli sasa ukuu wa mkoa ataupata tu maana hakuna namna.
Wana Kinondoni wanajua...Kipi cha maana mkuu amefanya apewe mkoa?
Na ndipo panapo mfaa haswaaaa, najua kipindupindu itakua historia.tena apewe dsm
Mimi nipo Kinondoni pia sijuiWana Kinondoni wanajua...
Mkuu kuna watu wako hapa TZ hawajui daladala,hawajui kuwa umeme unakatika,hawajui maji yanakatika,hawajui kama Dar in joto nyuzi 33!!hivi ni kweli viongozi wetu hawajui changamoto zetu mpaka waje wajionee au tuwaambie, kabla hawajawa viongozi walikuwa wanaishi dubai?