Makonda kupelekwa Arusha ni mtego

Makonda kupelekwa Arusha ni mtego

SUTAGI-

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2018
Posts
278
Reaction score
517
Ndugu yangu Makonda system iliyopo sasa inakutumia kama toilet paper.

Ulipewa uenezi wa chama.. ukatamba na kuibua madudu ya chama na serikali yako.

Wananchi wenye fikra fupi wakakuona mwokozi wao wakati sisi waelewa tulijua tangu mwanzo kuwa mnafanya maigizo.

Hata hivyo kwa kuwa mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania, ziara yako iliweza kuirudisha imani ndogo ya wananchi kwa chama.

Wakubwa na wasiokupenda walipokaa kitako wakaona unaichafua serikali ya Mama na kujisafisha wewe na team Magu.

Wakubwa waliponusa hatari wakaamua wakupoteze kwenye ramani ya siasa.

Huko Arusha ulikopelekwa ni mtego kwako. Jitahidi sana uushinde.

Wakubwa wako wanategemea ukaoneshe grandiose zako upambane na CDM. Katika kupambana nao wanajua huna akili za kiungwana hivyo utajikuta umefanya jinai.

Mwisho wa siku utaishia jela kama mwenzako Sabaya.

Wakati unateseka huko jela team JK akina Nape , Makamba n.k watakuwa wanakula kuku kwa mrija.

Ushauri:
Be humble, tengeneza mazingira sawa ya siasa kwa vyama vyote, jiepushe na migogoto otherwise ukipeleka ubabe huko utakutokea puani.
 
Hatatoboa huko, akimaliza hata mwaka huu akatoe sadaka. Hapo chuga ni mji una watu vichwa ngumu sana na kutokana na kiburi na ubabe wake, atafanya hicho ulichosema yaani jinai, kupiga watu, kutoa kauli za hovyo, vitisho etc ambapo itamgharimu.. Ameshindwa kusoma mazingira na kubadilika kuendana na wakati uliopo. Kila speech Magufuli hivi magu vile, inatakiwa akubali kuwa zama za jiwe zimeshapita na sasa ni zama mpya, afuate kinachotakiwa na hawa watawala wa sasa, period
 
Jamii ya kimataifa inatambua makonda ni mtu anaehusika na mambo yasiyofaa sasa kumpeleka mji wa kitalii nadhan si nzuri ni kuua utalii sababau wataamini arusha si sehem salama kwa namna fulani
 
Kuna tetesi nimeziona Twitter kuwa Makonda alitaka kugombea urais kupitia chama fulani cha upinzani mwaka 2025.
 
Wakubwa wako wanategemea ukaoneshe grandiose zako upambane na CDM. Katika kupambana nao wanajua huna akili za kiungwana hivyo utajikuta umefanya jinai
Mzee umewaza kiintelijensia sana
 
Ndugu yangu Makonda system iliyopo sasa inakutumia kama toilet paper.

Ulipewa uenezi wa chama.. ukatamba na kuibua madudu ya chama na serikali yako.

Wananchi wenye fikra fupi wakakuona mwokozi wao wakati sisi waelewa tulijua tangu mwanzo kuwa mnafanya maigizo.

Hata hivyo kwa kuwa mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania, ziara yako iliweza kuirudisha imani ndogo ya wananchi kwa chama.

Wakubwa na wasiokupenda walipokaa kitako wakaona unaichafua serikali ya Mama na kujisafisha wewe na team Magu.

Wakubwa waliponusa hatari wakaamua wakupoteze kwenye ramani ya siasa.

Huko Arusha ulikopelekwa ni mtego kwako. Jitahidi sana uushinde.

Wakubwa wako wanategemea ukaoneshe grandiose zako upambane na CDM. Katika kupambana nao wanajua huna akili za kiungwana hivyo utajikuta umefanya jinai.

Mwisho wa siku utaishia jela kama mwenzako Sabaya.

Wakati unateseka huko jela team JK akina Nape , Makamba n.k watakuwa wanakula kuku kwa mrija.

Ushauri:
Be humble, tengeneza mazingira sawa ya siasa kwa vyama vyote, jiepushe na migogoto otherwise ukipeleka ubabe huko utakutokea puani.
Ole wenu arusha na viunga vyake, kwa maana yule muuaji aliyesababisha nyumba nyingi kuwa na matanga ya wototo wao akiwa RC Dar ameletwa kwenu.
Ni heri kwenu mwenye ng" ombe, mchicha, bangi ya kisimiri nk muviuze mnunue panga za kujilinda wenyewe na wana wenu.
 
Hatatoboa huko, akimaliza hata mwaka huu akatoe sadaka. Hapo chuga ni mji una watu vichwa ngumu sana na kutokana na kiburi na ubabe wake, atafanya hicho ulichosema yaani jinai, kupiga watu, kutoa kauli za hovyo, vitisho etc ambapo itamgharimu.. Ameshindwa kusoma mazingira na kubadilika kuendana na wakati uliopo. Kila speech Magufuli hivi magu vile, inatakiwa akubali kuwa zama za jiwe zimeshapita na sasa ni zama mpya, afuate kinachotakiwa na hawa watawala wa sasa, period
Chuga ipi hiyo yenue watu vichwa ngumu? Sabaya alikuwa DC wa Hai lakini alikua akishinda Arusha akijipigia hao unaowaita vichwa ngumu. Hata sasa anaishi nao huko huko
 
Ndugu yangu Makonda system iliyopo sasa inakutumia kama toilet paper.

Ulipewa uenezi wa chama.. ukatamba na kuibua madudu ya chama na serikali yako.

Wananchi wenye fikra fupi wakakuona mwokozi wao wakati sisi waelewa tulijua tangu mwanzo kuwa mnafanya maigizo.

Hata hivyo kwa kuwa mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania, ziara yako iliweza kuirudisha imani ndogo ya wananchi kwa chama.

Wakubwa na wasiokupenda walipokaa kitako wakaona unaichafua serikali ya Mama na kujisafisha wewe na team Magu.

Wakubwa waliponusa hatari wakaamua wakupoteze kwenye ramani ya siasa.

Huko Arusha ulikopelekwa ni mtego kwako. Jitahidi sana uushinde.

Wakubwa wako wanategemea ukaoneshe grandiose zako upambane na CDM. Katika kupambana nao wanajua huna akili za kiungwana hivyo utajikuta umefanya jinai.

Mwisho wa siku utaishia jela kama mwenzako Sabaya.

Wakati unateseka huko jela team JK akina Nape , Makamba n.k watakuwa wanakula kuku kwa mrija.

Ushauri:
Be humble, tengeneza mazingira sawa ya siasa kwa vyama vyote, jiepushe na migogoto otherwise ukipeleka ubabe huko utakutokea puani.
Huyu jamaa kwenye siasa yupo vizuri sana ila tatizo lake anajaribu kujionesha ni mwamba mwenye misimamo mikali ya mwamba Magufuli, pasipo kusoma alama za nyakati ili angalau Aishi kinafki na team ya upigaji madili ya msoga gang kwa ushauri ningemshari ni heri akatae teuzi zao kama hawezi kumsaliti mwamba Magufuli
 
Sabaya yupi aliyeishia jela?
Hata Kama katoka lakini alishalala na vibaka, wahuni na wahalifu wengine.
Alishakua na chawa na kuliwa na kunguni. Alishakua chini ya himaya ya nyapara. anaijua nguvu ya nyapara first hand.
 
Huyu jamaa kwenye siasa yupo vizuri sana ila tatizo lake anajaribu kujionesha ni mwamba mwenye misimamo mikali ya mwamba Magufuli, pasipo kusoma alama za nyakati ili angalau Aishi kinafki na team ya upigaji madili ya msoga gang kwa ushauri ningemshari ni heri akatae teuzi zao kama hawezi kumsaliti mwamba Magufuli
We ni unayemwita shetani mwamba ulitakiwa uwe Mirembe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom