Makonda, Kumbe kuna Watu wanapanga Njama za Kuharibu na Kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake kwa Ndoto za 2030? Ni kina nani hao?

Makonda, Kumbe kuna Watu wanapanga Njama za Kuharibu na Kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake kwa Ndoto za 2030? Ni kina nani hao?

Bashite he's a cancer yaani ana declare hadharani kwamba huko chamani Kuna mgawanyiko mkubwa wa kugombania madaraka yaweza kuwa hata hivi vifo vya hizi siku za karibuni vina chagizwa na Hilo aliloliongea bashite Kuna namna sio Bure
 
Pasco,
Huyo bwana mdogo ni mtu asiyejifunza kujikwaa kwake. Siasa za kiherehere waga zinamponza sana. Utakumbuka enzi za JPM alivyojitengenezea maadui bila sababu yeyote. 😁
Hizo tambo kazianza mapema sana, kutoka 2026 mpaka 2030 ni parefu sana kisiasa, lolote linaweza jitokeza hapo katikati na likamharibia ugali wake. Hapo anamsema Mjomba Ema kinamna. 😁
Sasa Mjomba Ema ni "President-in-waiting", mtu akivuta shuka tuu, Mjomba Ema anachukua mpaka 2040. 😁
Kuishi ni kujifunza, bahati mbaya huyo bwana waga hajifunzi, ni mtu wa namna yake. 😁
Apunguze kushupaza shingo, siasa zetu za kinafiki, atulize komwe. Ni juzi tuu hapo Biteko, Tulia na Bashungwa siasa zetu zimewashangaza. Hawaamini macho yao.
 
ndiyo muelewa kwamba 2030 haendi popote, ni wa maisha, kila kitu kinakwenda according to plan, lengo ni kuestablish islamic republic, muslims wamekuwa vitani tangia kabla hata ya uhuru against so called ''mfumo Kristo'' sasa wote ambao could stand in the way hawapo kuanzia Nyerere mpaka Kardinali wamebakia wao tu immortal, ambao hawafi.
wengi wetu hatukumuelewa Tundu Lisu alipomuita Magu dikteka uchwara, sasa ndiyo udikteta wenyewe wa akina stalin, btw your name sounds Christian what your back ...
Ujinga mtupu umeandika. 2030 October Samia anaachia nafasi ya urais atakuja mwingine.

Za chini ya kapeti zinasema hatakuwa muislam wala mkatoliki, anaweza kuwa dhehebu jingine.
 
Back
Top Bottom