Makonda: Kinondoni msipomchagua Mtulia mtaendelea kubomolewa nyumba, chagueni CCM mpate maendeleo

Kumbe bomoa bomoa yote ni juu ya kuwa na mbunge Wa upinzani. Jamaa sisi watanzania USiSi utatufanya ya zimbabwe
 
Huyu yuko kwenye list yangu ya wanaccm watano wa mwanzo kabisa nitakaowatia nguvuni na kuwaburuza Mahakamani kwa kusigina katiba ya nchi , ondoa hofu mkuu ni suala la muda tu .
Hicho unachokisema ndiyo nimekua nikikiongea kila diku kiwa wapinzani na wanaharakati wengine watumie vuzuri muda huu kuoridhesha hawa watendaji na madudu yao, ili siku nguzo yao itakapoondoka waanze kuwaburuza mahakamani.
Badala ya kuishia kulalamika tu.
Big up sana!!!
 
Yaani Taifa letu linatia huruma. inafikia viongozi wanatoa ahadi za aina hii? Makonda anajifanya kuwasaidia watu wenye matatizo, kumbe anawaomba rushwa ya uchaguzi! Hovyo kabisa
 
Mkimchagua huyo mt tv na radio station vitavamiwa sana taarifa zitapatikana za hovyohovyo

ANyway kazaneni sana maana wakati wa kuomba kura mnalilia kama watoto waliokosa lishe ona huyu sasa,waziri mzima anafanya nini hapa:

DVxLXYtXkAU3-Jc.jpg
 
makondaaaa+picc.jpg

Kwa ufupi
“Nawaomba mumchague ili aungane na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na mimi mkuu wa mkoa ili tuendelee kuwaletea maendeleo.”

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametumia mkutano wake na wananchi uliofanyika leo Februari 10, 2018 katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuwapigia debe ‘kiaina’ wagombea ubunge wa CCM majimbo ya Kinondoni na Siha.

Akizungumza katika mkutano huo wa kupokea na kusikiliza malalamiko ya wananchi wa Dar es Salaam, Makonda amewataka wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa ubunge Kinondoni na Siha na katika kata 9 unaofanyika Februari 17, 2018.

“Nasikia wana uchaguzi hivyo wananchi wawachague wagombea wa CCM ili waendelee kupata maendeleo. Kuna kijana anaitwa nani vile… Mtulia ..eeh anaitwa Mtulia. Ameangalia ameona watu wanavunjiwa nyumba zao, ameamua ajiunge na CCM ili wasiendelee kuvunjiwa badala yake wapate nmaendeleo,” amesema.

“Nawaomba mumchague ili aungane na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na mimi mkuu wa mkoa ili tuendelee kuwaletea maendeleo.
Napenda kumuuliza Bashite, mbona Jimbo la Kinondoli limekua likiwachagua wabunge wa CCM toka tupate uhuru, hayo maendelo yako wapi?
 
Kwahiyo familia za wana UKAWA ndo zinamaisha mepesi? Jinga kabisa ww
Ulichoandika hakika shule ni muhimu sana umbumbu nlitegemea unawaombea mabaya ukawa familia yako inaishi peponi kumbe mnavutaniana ugali sawa na wa ukawa.
 
makondaaaa+picc.jpg

Kwa ufupi
“Nawaomba mumchague ili aungane na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na mimi mkuu wa mkoa ili tuendelee kuwaletea maendeleo.”

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametumia mkutano wake na wananchi uliofanyika leo Februari 10, 2018 katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuwapigia debe ‘kiaina’ wagombea ubunge wa CCM majimbo ya Kinondoni na Siha.

Akizungumza katika mkutano huo wa kupokea na kusikiliza malalamiko ya wananchi wa Dar es Salaam, Makonda amewataka wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa ubunge Kinondoni na Siha na katika kata 9 unaofanyika Februari 17, 2018.

“Nasikia wana uchaguzi hivyo wananchi wawachague wagombea wa CCM ili waendelee kupata maendeleo. Kuna kijana anaitwa nani vile… Mtulia ..eeh anaitwa Mtulia. Ameangalia ameona watu wanavunjiwa nyumba zao, ameamua ajiunge na CCM ili wasiendelee kuvunjiwa badala yake wapate nmaendeleo,” amesema.

“Nawaomba mumchague ili aungane na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na mimi mkuu wa mkoa ili tuendelee kuwaletea maendeleo.
Haaa .Kumbeee.Ee Mungu bAba tuonyeshe njia pasipo na njia.
 
Back
Top Bottom