Makonda kawaombee walimu treni ya Tazara

Mgonga Mawe

Member
Dec 29, 2015
63
30
Habari wakuu,

Nipo katika treni ya Tazara maarufu Mwakyembe natokea Tazara kuelekea Moshi Bar.

Kuna tangazo linasikika hapa juu ya walimu kuendelea kulipa nauli mpaka utaratibu wa kutolipa nauli utakapotambulishwa kwao.

Mhe. Makonda kama utapita hapa tafadhali malizia kazi uliyoianza.
 
Habari wakuu..

Nipo katika treni ya Tazara maarufu mwakyembe natokea Tazara kuelekea Moshi Bar,

kuna tangazo linasikika hapa juu ya walimu kuendelea kulipa nauli mpaka utaratibu wa kutolipa nauli utakapotambulishwa kwao..

Mhe. Makonda kama utapita hapa tafadhali malizia kazi uliyoianza...
Waongezewe salary na sio kuwarubuni kwa free za km 20 kw 400 walimu kuweni macho
 
Mkuu wa mkoa MAKONDA.... Shughulikia tatizo hili kwa mkoa wote. .....
Pia mshauri waziri wa elimu, utumishi na Waziri Mkuu waweke suala la WARRANTY pindi walimu wasafiripo kwenda mikoani wakati wa likizo.....

Hatua moja huanzisha nyingine...... kero za walimu ni nyingi ..... wakati taasisi husika inazitatua kero hizo haizuii juhudi mpya kufanyika kuwapunguzia WAELIMISHAJI wetu mzigo wa ugumu wa maisha.

MIKOPO , suala la mikopo kwa walimu imekuwa ni janga kwao badala ya kuwa neema. Taasisi nyingi za mikopo ni taasisi za kitapeli. Walimu wasaidiwe kuingia mikopo nafuu na wale waliongia mikopo ua ki "magumashi" wasaidiwe kujinasua kwayo
 
Back
Top Bottom