Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Haahahha humu sidhani kama yupo ungepost Instagram ungempata na angekujibu vizuri tu.
Ungeiweka kimahesabu ingekaa vizuri zaidi.
Mkuu wa wilaya hulipwa mmilioni 2 kama mshahara
75% ya mshahara wake ni milioni moja na laki tano.
1500000/7 = 214,285.7
Kweli wanasheria wa Tanzania wanalipwa kidogo sana, hadi makonda anaweza kuajiri 7?.