Wanawake wa kichaga wengi ni wasomi pia wanaolewa na wasomi wenzao,Umenena. Harusi nyingi hivi sass siyo za Wachaga kwa wachaga bali wanaolewa na kabila nyengine!
INGEKUWA UONGOZI HASA HUO URAIS UNAPATIKANA KWA KUFANYA MITIHANI HAPO KIDOGO MNGEFIKIRIWA. LAKINI KWENYE SANDUKU LA KURA HATA BILA UCHAKACHUAJI HAKUNA WATANZANIA WENGI WATAWAPA KURA NJE YA WACHAGA WENZENU AMBAO HATA HIVYO IDADI YENU HAITOSHI.Wanawake wa kichaga wengi ni wasomi pia wanaolewa na wasomi wenzao,
Product zao lazima zikamate usukani wa mother TZ.
Unaweza kutafuta kitu ambacho hakipo?Lakini tofauti ya Nyerere na Makonda licha ya kuwepo kwenyr vyeti i.e mmoja alikua navyo na mwingine hana, kitu kingine ni busara na hekima Nyerere alikua navyo lakini huyu mwingine inabidi tutafute kwa tochi
Kumbe makonda anacho ila ili kionekane inabd torch itumikeLakini tofauti ya Nyerere na Makonda licha ya kuwepo kwenyr vyeti i.e mmoja alikua navyo na mwingine hana, kitu kingine ni busara na hekima Nyerere alikua navyo lakini huyu mwingine inabidi tutafute kwa tochi
Haswaa wachaga wana historique kubwa Sana ktk hii nchiVyuo vingi mfano SUA, UDSM hata Mzumbe University, watu wa Kaskazini, hasa Wachagga ndo walisimamia, kuanzisha programu za masomo, kufundisha idadi kubwa ya watu ambao ndo wanawabeza leo! Mfano' Open University ya leo, iliasisiwa mwanzoni kabisa na Prof. Mmari ( Mchagga) ambaye ndiye pia aliyesimamia SUA enzi inajitenga UDSM.
Waziri wa Elimu enzi hizo Mh. Elinawinga ( Mchagga), mambo aliyobuni na kufanya yanakumbukwa hadi leo. Nielewke, hawa jamaa ni model kwa mafanikio ktk maisha yangu.
Siku Raisi atatoka pande hiyo, naamini ndo mwanzo wa Tz mpya
Kweli?Kuna video ipo alisemaga wahaya hawatakiwi kupewa uongozi Ila wachaga sijawahi ona
Blaza hio ni tafsida tu ili kuepusha mambo ya kuanza kutafutana...Kumbe makonda anacho ila ili kionekane inabd torch itumike
Kwahiyo ukioa mchaga ndio umeufuta uchaga?Baada ya miaka 20 ijayo kuna uwezekano hakutakuwa na mchagga pure. Tunawaoa sana dada zao hivyo uchagga utaisha. Hasa sisi wa kanda ya ziwa tumewaoa sana. Hivyo hata akija kuchukua Urais hata kuwa mchagga bali Msukuma, Mkurya au kabila jingine. Uchagga tunataka tuufute kabisa hapa nchini la sivyo watatusumbua. NYERERE aliiona mbali.
Kwa ufafanuzi tu kwako dogo ni kwamba nyerere aliwahi kuzikwa na chama chake enzi za utawala wa chama cha tanu ya jenga nchi pamoja na ile bendera na picha ya nyerere hapo ndo mwanzo wachuki na wachaga hakuwahi kurudi kilimanjaro tena kwa ziara zake hadi anatoka ikulu miaka yake 23 ya utawala.kwa maana hiyo kilimanjaro toka enzi ni wapinzani pamoja na kuwa serekali ya chama kimoja .maneno haya yanawaumiza sana " Rais hawezi kutoka kaskazini". ni dhambi gani mbaya mliyoshiriki enyi watu wa kaskazini? Nauliza tu, maana mimi bado ni mdogo nipo katika ukuaji wa kujua ya zamani.
Subiri niitafute nitakutumiaKweli?
Sio maendeleo! Ubinafsi na ubaguzi uliokithiri! Na hii imekuwa ni tabia ya wachaga kuanzia mashuleni mpaka kwenye maisha ya kawaida.Watu wa kanda ya ziwa mnisamehe hapa nawatoa WAHAYA kwa maana ukiongelea kanda ya ziwa Wahaya enzi hizo nao kiasili waliishi kama wachaga na walikuwa na maendeleo makubwa kupitia ushirika kama uliokuwepo enzi hizo Kilikanjaro.
Je, wanajamvi mmesoma I Can I Will I Must?Ukisoma kitabu hiki utagundua kuwa Nyerere alijenga chuki na Kilimanjaro na kagera kwa sababu matajiri.
Wakubwa walikuwa huko enzi hizo,watu hawa walijua thamani ya hela hata kbla ya uhuru, ndio maana nyerere chini ya kauli yake alipinga hawa jamaa kuwa watawala wa nchi hii.
Kimsingi hiyo kauli najua itakuja kufutwa kwani haina nguvu hata kidgo.
Je, kauli ya Makonda ni mzimu wa Nyerere dhidi ya ubaguzi wake dhidi ya wachaga?