Makonda, huu ndio muda wa 'kumkomesha' Mbowe. Hakuna haja ya kumkimbia!

Fanya hivi: pokea nyaraka za kimahakama zinazobeba malalamiko ya Mbowe kwenye kesi yake ya kikatiba. Halafu,tokeza mahakamani na ushiriki kwenye kesi yako.

Kaoneshe,kimahakama na kisheria,jinsi ulivyo na nguvu ya kuwatangaza wahalifu,kuwaita polisi na kuwasweka wananchi na viongozi rumande. Kalinde vifungu vinavyopingwa kwakuwa ndivyo vinavyokupa nguvu uliyonayo

Nimeambiwa kuwa leo Mbowe anatamba peke yake Mahakama Kuu. Wewe Makonda,Sirro na Wambura hampo. Kwa upande wa Walalamikiwa wote,yupo Mwanasheria Mkuu tu.

Hakuna haja ya kukimbia,mnapaswa kukimbilia.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hawaja amini kama wange itwa mahakamani. Walijidanganya wao ndio kila kitu. Sasa tusubiri nao wakamatwe kwa kukataa kutii amri halali ya mahakama.
Hivi Makonda, Siro na Wambura wao ni kina nani?? Kama Mh. Mkapa alitii amri ya mahakama na kwenda kujieleza hawa ni kina nani???
 
Hahahaha cdm bana. Mpaka mnatia Huruma. Kwa sasa JD zetu ni kuamkia mahakamani. No operation again.
Kwa sasa mnasahau hata kuhash tag kijana mwenzetu ambaye hajulikani aliko. Au mlishajua? Maana mko kimya kabisa.
 
Fanya hivi: pokea nyaraka za kimahakama zinazobeba malalamiko ya Mbowe kwenye kesi yake ya kikatiba. Halafu,tokeza mahakamani na ushiriki kwenye kesi yako.

Kaoneshe,kimahakama na kisheria,jinsi ulivyo na nguvu ya kuwatangaza wahalifu,kuwaita polisi na kuwasweka wananchi na viongozi rumande. Kalinde vifungu vinavyopingwa kwakuwa ndivyo vinavyokupa nguvu uliyonayo

Nimeambiwa kuwa leo Mbowe anatamba peke yake Mahakama Kuu. Wewe Makonda,Sirro na Wambura hampo. Kwa upande wa Walalamikiwa wote,yupo Mwanasheria Mkuu tu.

Hakuna haja ya kukimbia,mnapaswa kukimbilia.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mwana ccm kindakindaki umeongea
 
Mzee Tupatupa kwa jinsi unavyowapa vidonge lumumba wenzako jiandae kuundiwa zengwe la kufukuzwa uanachama
Huyu Mzee Tupatupa atakuwa yupo Lumumba mtaani kwa chini usawa wa Jengo la Ushirika, siyo pale juu kwenye kijani.
 
Hahahaha cdm bana. Mpaka mnatia Huruma. Kwa sasa JD zetu ni kuamkia mahakamani. No operation again.
Kwa sasa mnasahau hata kuhash tag kijana mwenzetu ambaye hajulikani aliko. Au mlishajua? Maana mko kimya kabisa.
Mmekimbia mahakama
 
Fanya hivi: pokea nyaraka za kimahakama zinazobeba malalamiko ya Mbowe kwenye kesi yake ya kikatiba. Halafu,tokeza mahakamani na ushiriki kwenye kesi yako.

Kaoneshe,kimahakama na kisheria,jinsi ulivyo na nguvu ya kuwatangaza wahalifu,kuwaita polisi na kuwasweka wananchi na viongozi rumande. Kalinde vifungu vinavyopingwa kwakuwa ndivyo vinavyokupa nguvu uliyonayo

Nimeambiwa kuwa leo Mbowe anatamba peke yake Mahakama Kuu. Wewe Makonda,Sirro na Wambura hampo. Kwa upande wa Walalamikiwa wote,yupo Mwanasheria Mkuu tu.

Hakuna haja ya kukimbia,mnapaswa kukimbilia.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
umesema kweli
 
Hii indio inaitwa tii sheria bila shuruti.
Inabidi watii sheria wanayoisimamia bila hivyo wanatutia shaka sisi wanaotusimamia kutii sheria bila shuruti.
 
Back
Top Bottom