VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Fanya hivi: pokea nyaraka za kimahakama zinazobeba malalamiko ya Mbowe kwenye kesi yake ya kikatiba. Halafu,tokeza mahakamani na ushiriki kwenye kesi yako.
Kaoneshe,kimahakama na kisheria,jinsi ulivyo na nguvu ya kuwatangaza wahalifu,kuwaita polisi na kuwasweka wananchi na viongozi rumande. Kalinde vifungu vinavyopingwa kwakuwa ndivyo vinavyokupa nguvu uliyonayo
Nimeambiwa kuwa leo Mbowe anatamba peke yake Mahakama Kuu. Wewe Makonda,Sirro na Wambura hampo. Kwa upande wa Walalamikiwa wote,yupo Mwanasheria Mkuu tu.
Hakuna haja ya kukimbia,mnapaswa kukimbilia.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam