Makonda hata afanye nini hawezi kuheshimika

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
Huyu mtu anayeitwa Makonda Mkuu wa wilaya ya Kinondoni tunapata habari zake kila siku,leo kaja na habari ya kusimamisha uzalishaji katika kiwanda cha Urafiki.

Hata afanye nini bado ni mtu anayedharaulika sana na kamwe hawezi kubadilisha mawazo ya watanzania kuhusu yeye,inawezekana ana nuksi manake kazi anazofanya ingekuwa mtu mwingine ni story mitaani lakini kwa yeye ni kimya.

Namshauri akae chini atulie asubiri mwanaume apange kazi inawezekana hata tusimsikie tena kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
.
 
Aisee, ngoja tusubiri kidogo, majina yanatoka muda si mrefu
 
Hujui ukisemacho, nenda site ndugu! Waulize wakazi wa kule alikoenda juzi juzi kupima viwanja, wanamkubali balaa watu wa kawaida! Wanamuona kama mwokozi wao wa kuwapigania haki yao!
Nina watu nawafahamu walitaka kudhulumiwa ardhi yao huko! Wanamkubali balaa, wamama wa huko ndo usiseme!
 
Huyu mtu anayeitwa Makonda Mkuu wa wilaya ya Kinondoni tunapata habari zake kila siku,leo kaja na habari ya kusimamisha uzalishaji katika kiwanda cha Urafiki.

hata afanye nini bado ni mtu anayedharaulika sana na kamwe hawezi kubadilisha mawazo ya watanzania kuhusu yeye,inawezekana ana nuksi manake kazi anazofanya ingekuwa mtu mwingine ni story mitaani lakini kwa yeye ni kimya.

Namshauri akae chini atulie asubiri mwanaume apange kazi inawezekana hata tusimsikie tena kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
.

Kwani hukumbuki alivyompiga Jaji warioba, mzee ambaye ni sawa na babu yake?
 
Kwel wanamkubali jins alivyompiga mzee,warioba
 
Mtoa mada nadhani uchunguzi wako hujaufanya vizuri...jaribu kupitia comments za hao watanzania unaosema wanamchukia,utagundua ni asilimia kubwa ya watu kwenye social media wanasifu utendaji wake na ukaribu wake na wananchi na pia naamini wananchi wengi wanamkubali mkuu wao wa wilaya....ni kweli alifanya kosa ila kwa nature ya binadam hata kama kuna kosa lishawahi kutendeka lakini kama kuna mema yanafanywa mara nyingi watu hua wepesi kusamehe
 
Wana kinondoni tuna muheshimu nyie mliotoka segerea ndo mmeanza tena kulialia uku cheleweni tena sasa..
 
Kale kabwana kana laana kali ambayo hata afanye kitu gani kupata uhalali kwenye jamii ni kazi sana.
 
Kwel wanamkubali jins alivyompiga mzee,warioba
Warioba mwenyewe alishasamehe,nyinyi mmekomalia kulitumia suala hilo kisiasa utafikiri mna undugu na Warioba hata Kippi hawezi kuzungumzia suala zaidi yenu HATERS WA Makonda.....................
 
Ungekua unajua power ya mkuu wa wilaya ndani ya wilaya yake, si ajabu ungegundua Makonda hajafkia 21% ya matumiz ya power hiyo. Wacheni watu wafanye kazi chuki si maungwana.
 
Kwani hukumbuki alivyompiga Jaji warioba, mzee ambaye ni sawa na babu yake?

Makonda ana ubaya wake ila kwa kumpiga huyu mchakachua maoni ya raia, hapana.
Nafikiri ni kitu bora zaidi alichokifanya kwa babu huyu,.
 
Back
Top Bottom