Makonda bado ngoma mbichi

Kweli CHADEMA huyu jamaa aliwanyosha mpaka Leo bado hamjajifungua tu na chuki mlio nayo dhidi ya Mzalendo huyu aliyewafurumsha mashoga,wauza madawa ya kulevya na Wezi wa Mali za Umma.Pelekeni mbali propaganda za kitoto.Ila CHADEMA mna ukabila sana

Kama uzalendo Ni kuteka watu na kupambana na CHADEMA basi makonda ni mzalendo.
 
UZALENDO wa MAKONDA ni pamoja na haya MATUKIO ya Kuvamia Clouds TV na Kumpiga Baba yake Mzee Warioba
 

Attachments

  • Screenshot_20210809-112350_Phoenix.jpg
    24 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…