GE2025 Makonda awaita wenye hoja za msingi kwenye mdahalo wa katiba mpya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.

Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo nao, tunawaacha watu waovu wamesema kwa nguvu nyingi mpaka ikafika hatua wakaonekana wao wapo sahihi yaani wewe unayesimamia katiba, sheria unaonekana wewe ndio mbaya wanaovunja sheria na katiba wao wanaonekana wazuri. Paul makonda Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM leo Oktoba 11, 2025 mkoani Shinyanga.

Ndio walivyo wakishashiba maarage kuja kuropoka hovyo.

Kwenye kichwa chake katiba ni kijikitabu tu, sio legal document/contract.

Nani mwenye akili zake timamu anaweza poteza muda wake kujadili mambo ya maana na huyo taahira.

Mtu ukimuuliza akutajie hata aspects za katiba ni ngapi, let alone zinaitwaje au hata aina ya katiba yetu ni hipi nina uhakika 100% hajui.

Sasa mtu kama huyo unajadili nae nini.
 
yupo sahihi midahalo inasaidia sana kujua pumba na mchele.
 
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.

Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo nao, tunawaacha watu waovu wamesema kwa nguvu nyingi mpaka ikafika hatua wakaonekana wao wapo sahihi yaani wewe unayesimamia katiba, sheria unaonekana wewe ndio mbaya wanaovunja sheria na katiba wao wanaonekana wazuri. Paul makonda Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM leo Oktoba 11, 2025 mkoani Shinyanga.

Mtoeni tundu lisu afanye mdahalo na mama dully mbona simple
 
Uchaguzi unaweza kuahirishwa mpaka pale tutakapopata katiba mpya na raisi huyu huyu aendelee halafu ndio uitishwe uchaguzi mkuu na vyama vyote vishiriki.
 
Kufanya mdahahalo na mjinga kama Makonda anayetegemea hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja, ni kuitweza dhana ya mdahalo.
 
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.

Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo nao, tunawaacha watu waovu wamesema kwa nguvu nyingi mpaka ikafika hatua wakaonekana wao wapo sahihi yaani wewe unayesimamia katiba, sheria unaonekana wewe ndio mbaya wanaovunja sheria na katiba wao wanaonekana wazuri. Paul makonda Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM leo Oktoba 11, 2025 mkoani Shinyanga.

Makonda nae amekua mtu wa kulisemea TAIFA 🙌

Yaani zero brain 🧠 kwa mujibu wa ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA Leo ana credibility ya kutubananga na kutubagaza watanzania?
 
Write your reply...je waziri mkuu ajae ni msukuma wa kutoka bukombe geita au arusha? Hapo kura lazima zije tu
 
Lissu sio Size ya Makonda Lissu amefanya mdahalo na Wakina Masaju Jaji mkuu akiwa CAG Bungeni Jaji werema CAG wakina Felesh nyie Achaneni na Lissu
Yanga siyo size ya Pamba Jiji ila kwakuwa wapo ligi moja lazima wakutane.
 
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.

Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo nao, tunawaacha watu waovu wamesema kwa nguvu nyingi mpaka ikafika hatua wakaonekana wao wapo sahihi yaani wewe unayesimamia katiba, sheria unaonekana wewe ndio mbaya wanaovunja sheria na katiba wao wanaonekana wazuri. Paul makonda Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM leo Oktoba 11, 2025 mkoani Shinyanga.

Suala la katiba mpya sio jambo la siasa nyepesi nyepesi ila ni jambo la maslahi kwa taifa na halihitaji kufanywa mzaha wala ulaghai.Wakati wa kuitafuta mliingiza maslahi binafsi sasa mnaleta dhihaka?
 
Back
Top Bottom