johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,307
Kwanza mfumo wa kutoa matokeo bila kurudisha papers siyo wa haki.Unamwambia mtu ana yai bila kumuonyesha mtihani ulivyosahishwa siyo fair!Pili nini maana ya vetting kama mwisho wa siku mnashindwa kugundua vitu simple kama jina au cheti feki?