Makonda angekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza angeokoa miili mpaka asubuhi Alafu CHADEMA wangesema ni kiki

Unajibu tu kwa pupa kama limwehu fulani hivi..sijui kama umetumia akili kujua jibu langu na comment niliyojibu.sasa ukijua kama mimi mwenyewe ni mwana chadema au hata sina chama chochote sijui utasemaje.
 
Tatizo kubwa kama hili watu mnaleta siasa.....
Hivi hakuna siku watu tutumie akili zetu tuachane na CDM na CCM?
Plz plz.......tuacheni hii mambo akili zetu ziwe kwa wahanga kwanza jamani.
 
Mkuu wa mkoa wa mwanza, makonda, chadema!!! What a fucken comparison, ongea jambo la kueleweka hata kama unataka kumpaisha bashite kupitia msiba huu sio kihivyo, jaribu kuwa na akili sio kila ishu ni ya kujikweza na kutafuta sifa!! Sijui uwa anawalipa shilingi ngapi huyo bashite maana sio kwa kujipendekeza huko!
 
Unaokoaje maiti...?? Vitendea kazi hafifu ndio maana wakasitisha ili kupunguza uwezekano wa kuwapoteza hata hao waokoaji..
 
Naamini mwanza kusingetosha, kusingetosha jamaa angelala ndani ya ziwa, i mean it. Hata leo wamuite tu akasaidie wampe helcopter moja n akikosi cha wanamaji waone mziki.
 
Matatizo mengi ya nchii hii yanasababishwa na utawala ulioko madarakani nawashangaa badala ya kuongelea namna ya kuwashauri na kuyatatua matatizo yanayo likumba taifa nyie kutwa mnawaponda CHADEMA
Alieturaga watanzania sijui ni nani
 

Japo sina uhakika wa muundo wa kivuko,ila kitu kilichotokea ni kupinduka kwa kivuko.
Sehemu iliokuwa juu sasa ipo ndani ya maji na sehemu iliyokuwa chini ipo juu.
Kuna uwezekano baadhi ya watu wamekwama ndani ya kivuko na kuna wengine wameanguka majini.Hivyo ni jambo lenye mikakati tofauti.
Lakini uokoaji unaendana na ujuzi wa kijasiri na vyombo au vifaa mahususi.
Kitengo chenye mamlaka na utaalamu wa shughuli hiyo ya uokoaji wa majini ni Search and Resue .
Sio kazi ya Mkuu wa mkoa kiuwalisia.Labda kazi ya mkuu wa mkoa ni kutambua umuhimu wa vikosi hivyo na kutoa msaada pale panapohitajika.
 
Atubela, inauma sana, uko sahihi sana

how can you sleep raia wako kwenye maji??
kuna watu wana roho mbaya sana na hawana sense ya uwajibikaji

mkuu wa mkoa katuumiza sana
Umeona ndugu yangu alafu huyu mkuu wa mkoa anatokea huko huko, Yaani mama yake ni Bi Getrude Mongella ambaye kwa vipindi kadhaa alikuwa mbunge wa Ukerewe akiachiana na mzee Pius Msekwa, Sasa kiistoria ya vizazi vya viongozi na yeye atakuja kuwaomba kura wakazi wa ukalla na visiwa vyote vya ukalla ambavyo wakazzi wake leo hii wanalia kwa kuwapoteza wapendwa wao..
Let wait and see 2020 tutamsikia na yeye anawaomba kura
 
Ababelaa
 
An
Angekua ndugu yako nae yupo kwenye hicho kivuko labda usingeliandika hivyo
 
CCM wangesemaje?
 
Yaani unawashangaa CHADEMA kwa jambo ambalo umelifikiria tu na halipo? Nakushangaa sana. Unaweza kumfikiria Magu kafa, ukaanza kulia.
 
Hakuna ushuzi unanuka vibaya kama huu, Serikali inasitisha uokoaji/uopoaji wa miili ya Watanzania kisa giza/usiku umeingia!! Haya nayo ni maajabu kama yale ya pesa za misaada ya tetemeko Kagera. Humo chomboni angekuwepo Bashite au Polyepolye shughuli ya uopoaji ingesitishwa au ni vile maiti zilizomo ni za walalahoi?
 
Unawaza maneno ya watu badala ya kuwaza maisha ya Watanzania. Mbona mnaishi kwa wasiwasi hivyo??
 
Hii ni nchi ya kipumbavu kabisa, hili sio tukio la kwanza kutokea ziwa victoria na mpaka leo hatujajifunza, meli inazama karibu na mji halafu hatuna hata mbinu za kuokoa watu. Wazungu wangekesha kuoka watu wao lakini sie bongo hatujui umuhimu wa binadamu ila wakati wa kupiga kura. Hapa lazima wafungwe watu kwa uzembe. Na mkuu wa mkoa afukuzwe.
 
Mbona wavuvi wanavua usiku ?? Sio mbunifu naamini RC makonda angeweza maana ni mbunifu
Heeee!!! Yaani kazi ya kuvua samaki unailinganisha na zoezi la uokoaji binadamu majini?? Kama huna vifaa vya uokoaji?? Ubunifu bila vifaa? Majanga yanayotokea tu nchi kavu huwa tunawaona tu wanavyohangaika, kutokana na vifaa duni, mfano ajari inatokea watu wanabanwa kwenye magari, wanakaa masaa kibao bila msaada, sembuse majini?? Kifupi hatuko tayari kwa majanga, jeshi la zima moto na uokoaji na marine hawana vifaa na wataalam!! Mvuvi akishusha nyavu tu anasubilia kuvuta, ulinganishe na uokoaji?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…