Makonda anamlenga nani kuelekea 2030?

Makonda anamlenga nani kuelekea 2030?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,103
Reaction score
9,588
Huyo Zero Brain, Bashite Hajajifunzaga tuu kuacha siasa za kiherehere!
Siasa za kiherehere waga zinamharibia sana. Angejikita kufanya kazi kimya kimya na kula maisha. 2030 ni mbali, lolote linaweza tokea hapo katikati, kiherehere hicho angekianza 2029 huko, sasa hivi watambinya tuu. 😁
Huyu zero brain ni fundi wa kujitengenezea maadui bila sababu ya msingi. 😁
 
Nadhani wote mmemsikia Paul Makonda kuhusu mpambano wa kuelekea 2030 kwenye kiti cha Urais kupitia ccm.

Makonda kwa madongo ya leo atakuwa anamlenga nani haswa?

Ila cha kusikitisha leo ni takribani miezi mitano tangu waingir madarakani ila vita ya Urais 2030 ni kama ishashika moto.

Hawa jamaa watauwana sana…

Pia soma: Makonda aonya Wanasiasa wanaolenga Urais 2030, aahidi kuwashughulikia wanaomsaliti Rais Samia
Kwa maneno hayo ya Makonda napata majibu mawili;

1. Kiongozi yeyote anayejituma kuwatumikia wananchi,ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero za wananchi,huyo ni adui wa Mama Samia,

2. Kama alivyowahi kusema Mange,Mama Samia ana nia ya kuendelea kutawala kama Rais baada ya 2030.
 
Tumekua taifa la ovyo sana

Kikatiba Samia anatakiwa amalize utawala wake 2030.

Ukimsikiliza Makonda anaongea kana kwamba 2030 Samia ataendelea kuwepo madarakani.

Kama sivyo, kwanini vitisho kwa wanao dream 2030 kuingia mapambanoni ilihali wanajua aliepo atakua anamaliza muda wake?

Mahusiano ya Samia kuhujumiwa na 2030 yako vipi wakati iyo vita itakua haimhusu?

Si bure kuna kitu wanapika hawa tutaskia sana huyu kafariki ghafla mstuko wa moyo, uyu shinikizo la damu lilimpanda ghafla nk nk
 
ARUSHA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini, #PaulMakonda ameyasema hayo mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 25, 2026 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha.

Fuatilia zaidi jamii.app/MakondaUchaguz…

#JamiiForums #Utawala #Democracy #Siasa
 
Nadhani wote mmemsikia Paul Makonda kuhusu mpambano wa kuelekea 2030 kwenye kiti cha Urais kupitia ccm.

Makonda kwa madongo ya leo atakuwa anamlenga nani haswa?

Ila cha kusikitisha leo ni takribani miezi mitano tangu waingir madarakani ila vita ya Urais 2030 ni kama ishashika moto.

Hawa jamaa watauwana sana…

Pia soma: Makonda aonya Wanasiasa wanaolenga Urais 2030, aahidi kuwashughulikia wanaomsaliti Rais Samia
Mashetani hayo yote...mafisadi ña mauaji...
Yatakufa yote
 
Huyo Zero Brain, Bashite Hajajifunzaga tuu kuacha siasa za kiherehere!
Siasa za kiherehere waga zinamharibia sana. Angejikita kufanya kazi kimya kimya na kula maisha. 2030 ni mbali, lolote linaweza tokea hapo katikati, kiherehere hicho angekianza 2029 huko, sasa hivi watambinya tuu. 😁
Huyu zero brain ni fundi wa kujitengenezea maadui bila sababu ya msingi. 😁
Hao maadui zake inaonesha ni dhaifu sana. Kwa kifupi anawamudu WOTE!. Hakuna wakuleta fyokofyoko!
 
Tumekua taifa la ovyo sana

Kikatiba Samia anatakiwa amalize utawala wake 2030.

Ukimsikiliza Makonda anaongea kana kwamba 2030 Samia ataendelea kuwepo madarakani.

Kama sivyo, kwanini vitisho kwa wanao dream 2030 kuingia mapambanoni ilihali wanajua aliepo atakua anamaliza muda wake?

Mahusiano ya Samia kuhujumiwa na 2030 yako vipi wakati iyo vita itakua haimhusu?

Si bure kuna kitu wanapika hawa tutaskia sana huyu kafariki ghafla mstuko wa moyo, uyu shinikizo la damu lilimpanda ghafla nk nk
Hata mimi nimeshangaa aisee, uyu mama wakitaka mpitisha tena hyo 2030, basi wajiandae kuua sana, maana hata hizo risasi hazitatosha.
 
Kwa maneno hayo ya Makonda napata majibu mawili;

1. Kiongozi yeyote anayejituma kuwatumikia wananchi,ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero za wananchi,huyo ni adui wa Mama Samia,

2. Kama alivyowahi kusema Mange,Mama Samia ana nia ya kuendelea kutawala kama Rais baada ya 2030.
Nakubali mkuu
 
Viongozi hawazungumzii maendeleo hata uchaguzi wakifanya leo wataongelea uchaguzi ujao na si maendeleo ya Wananchi wao..
 
Back
Top Bottom