Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,172
- 20,642
Samia ndio rais. Upuuzi wako utajikuta Kisutu na kesi ya Uhaini wa kutaka kupindua nchi.Rais Makonda
kiazi wewe hata mie raisi wa magetoni kwanguSamia ndio raisi. upuuzi wako utajikuta Kisutu na kesi ya kutaka kupindua nchi.
Usiseme hujaambiwa.
Ukoo huu karibuni utazama na ile boti ya mhugo🤔View attachment 2890894
Mwanasheria mkuu Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.
This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake.
Imekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli.Ukoo huu karibuni utazama na ile boti ya mhugo🤔
Utawajibu polisi hivyo, nishakupa tahadhari.kiazi wewe hata mie raisi wa magetoni kwangu
kwani hii bongo neno rais linatumika kwa mtu mmoja??? kapige mikwara wana ukoo wenuUtawajibu polisi hivyo, nishakupa tahadhari.
sidaiwi.
Saa chelewa inapitishwa kwenye kishimo na kupekechwa utakuwa unawajibu polisi hivyo.kwani hii bongo neno rais linatumika kwa mtu mmoja??? kapige mikwara wana ukoo wenu
Kwamba kila wakienda mahakamani wanataka washinde?Ina maana mpaka wananchi wanaenda kwa mwenezi na kuacha Mahakama, wameshaona huko Mahakamani hapaeleweki....
Mashauri yanachelewa...Ruswa, n.k
Nadhani wananchi wana imani na Makonda na si mwingine.View attachment 2890894
Mwanasheria mkuu Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.
This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake.
Inaonyesha kiwangi kikubwa cha ujinga ulionao mbali na kwamba umesoma UPE na kupata divisio four point 32.Nadhani wananchi wana imani na Makonda na si mwingine.
Hata mimi naamini shida yangu itakwisha nikimuoma Mwrnezi kuliko waziri wa Tanesco
Makonda yupo sahihi kwa 100%Hili hata mimi nimelisema mara kadhaa kuwa anachokifanya Makonda ni kuivua nguo serikali na wakati huo huo yeye binafsi anajijenga.
Hio ndo 50/50 hamna kazi ya bureMakonda yupo sahihi kwa 100%
Kwa sababu hiii;
1. Anajua kuwa ccm inamtumia hasa kuivuta kanda ya ziwa ili ccm ivuke salama 2024.
2. Naye Makonda snaitumia ccm kujijenga.
3. Anajua fika hatatui shida za wananchi bali anaigiza.
Concl: ccm na Makonda wote wanatumiana kila mmoja kufikia malengo
Kachambua sawasawa. Tatizo halitatuliwi na mtu. Tatizo linatatuliwa na taasisi imara zenye raslimali fedha watu na zenye weledi na maadili yanayotakiwa. Vituo hivyo kulitafutia ufumbuzi tatizo hilo. Vizingatie sifa zinazohitajika kuzifanikisha.Makonda yupo sahihi kwa 100%