Makonda afikishwe mahakamani

Makonda afikishwe mahakamani

richaminja

Member
Joined
Dec 31, 2016
Posts
90
Reaction score
41
Kwakua Mh Lema amefikishwa mahakamani kwa ushahidi na Makonda nae afikishwe mahakamani. Gumbo alitumia ushahidi wa simu kumfikisha Mh Lema mahakamani na mpaka sasa hajapewa dhamana. Mh Halima anasema wabunge kadhaa wametishiwa kwakupigiwa simu na makonda. Watumie voice note hizo kama ushahidi kumweka rumande.
 
Yaani wabunge wanatishiwa na makonda?nao wanalegea?kazi kweli kweli
 
Makonda hawezi pigasimu??nayeye keshakuwa mtakatifuu
 
Back
Top Bottom