TAKUKURU Arusha yabaini watumishi wawili kutengeneza control number bandia na kutengeneza kampuni hewa ili kuchepusha pesa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,481
147,229
Takukuru Mkoa wa Arusha imesema Watumishi wawili wa Halmashauri ya Jiji La Arusha wanadaiwa kughushi Namba ya Mlipakodi na Kampuni hewa ya kulipia mapato

Hii ni baada ya RC Makonda kuagiza ufanyike uchunguzi

Source Jambo TV

Mlale Unono 😄😄🔥

=====
Tuhuma za kughushi nyaraka, uchepushaji wa makusanyo ya Serikali na ubadhirifu wa fedha za umma, zimechukua sura mpya baada ya watumishi wawili kudaiwa kuhusika kutengeneza namba bandia ya mlipakodi na kampuni hewa ya kulipia makusanyo hayo.

Kutokana na uchunguzi huo wa awali kubainisha hilo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha, inafanya uchunguzi wa mfumo mzima wa malipo ili kubaini kampuni nyingine hewa na namba bandia za mlipakodi zilizotumika kuchepusha kodi au mapato yoyote katika halmashauri hiyo.

Takukuru imefanya uchunguzi huo ikiwa ni agizo la Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kufuatia tuhuma zilizowasilishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mawakala wa Utalii Tanzania (Tato), Wilbard Chambulo kudai kulipa kodi ya huduma Sh24 milioni, lakini akapewa risiti ya Sh3.6 milioni.

Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumapili Mei 26, 2024, Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo amesema uchunguzi wa awali umebaini watumishi wawili wa halmashauri hiyo wamehusika kughushi nyaraka ikiwamo kutengeneza namba bandia ya mlipakodi na kutumia kampuni hewa kulipia mapato.
 
Taasisi ya kupambana na Rushwa jijini Arusha imesema uchunguzi wa awali umebaini watumishi wawili Jijini Arusha kuhusika na kutengeneza control number bandia na pia kutengeneza kampuni hewa ili kuchepusha pesa za walipa kodi!

Mkurugenzi wa Takukuru amesema wabaendelea kuchunguza mfumo wote wa kutoa control number ili kubaini control number za bandia na kampuni za bandia ambazo zimekuwa zikitengenezwa na baadhi ya watumishi ili kujinufaisha.

=======

Kazi ya kamanda makonda hiyo takataka za ccm zitabisha
 
Takukuru Mkoa wa Arusha imesema Watumishi wawili wa Halmashauri ya Jiji La Arusha wanadaiwa kughushi Namba ya Mlipakodi na Kampuni hewa ya kulipia mapato

Hii ni baada ya RC Makonda kuagiza ufanyike uchunguzi

Source Jambo TV

Mlale Unono 😄😄🔥

=====
Tuhuma za kughushi nyaraka, uchepushaji wa makusanyo ya Serikali na ubadhirifu wa fedha za umma, zimechukua sura
Halafu muendelee kusema Mh Makonda anadhalilisha watumishi
 
Back
Top Bottom