Makonda aanza kuvaa Bullet Proof Vest

Makonda aanza kuvaa Bullet Proof Vest

Avae na bullet proof ya kichwa!
Shenzy type
Huwezi kudharirisha na kutukana watu mpaka kujiita mungu alafu ubaki salama.
MUNGU WA DAR ANAVAA BULLET PROOF
 
He can run,but no place to hide for him. If we want we can pick him like a sitting rabbit
 
Inasaidia kutengeneza vyeti?Au inaweza kukicha magari ya kuhongwa?
 
3c099beaf34122ffb4aba06dfd01272e.jpg
Tunamtaka alive a face charges against him.
 
Nilipo amini kweli huyu jamaa kweli huenda anachokisema Gwajima kuwa alipata Bashite(ziro) juzi kati tena alirudia kumdhalilisha afisa utumishi tena kwa kumuamru anyanyuke mbele za watu.Na nikiangalia yule afisa utumish anaweza hata kumzaa Bashite Ama kweli lisemwalo lipo.
 
Back
Top Bottom