Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amepiga marufuku biashara ya shisha, Sigara na Ushoga jijini Dar.
'Mimi ndio mbabe wa vita. Ndani ya siku 7 biashara iwe imefungwa Mara moja' amesema Makonda.
Amesema Ndani ya mkoa wangu(Dar) ni marufuku kuvuta sigara hadharani!
Aidha, ni marufuku wakazi wa Dar ku-follow mashoga kwenye twitter, Facebook, Instagram nk. Amewatahadharisha watu Just kuunfollow them ili usiwe hatiani!
Kaongezea kwamba, Kuna Asasi za Kiraia(NGO) zinapokea misaada ili zitetee mashoga. Kwenye mkoa wake wa Dar hizo NGO zote atazifuta.
Dar es Salaam Sasa Kumekucha.
Aisee umemsaidia sanaa!! In short hotelini sidhani kama atawapata.. Na je atajuaje kuwa huyu ni shoga?Aende kwenye kitchen party hasa zile za uswahilini
Akakamate wakwepa Kodi sasa mtu Shoga anatusaidia nin kashakuwa hivo no wayAisee umemsaidia sanaa!! In short hotelini sidhani kama atawapata.. Na je atajuaje kuwa huyu ni shoga?
Hawa mashoga hata sio kazi kuwapata..Wanajiachia sana siku hizi..Mtu unaweza kuchat nae leo kesho ukamkamata..Aisee umemsaidia sanaa!! In short hotelini sidhani kama atawapata.. Na je atajuaje kuwa huyu ni shoga?
Aende kwenye kitchen party hasa zile za uswahilini
Wengine hawajulikani na wana vyeo vikubwa Tu wapo wenye makampuni but ni gaysHawa mashoga hata sio kazi kuwapata..Wanajiachia sana siku hizi..Mtu unaweza kuchat nae leo kesho ukamkamata..
Wanatukana balaa. Yaani matusi yao hayaandikiki. Ndio Defense Mechanisms yao.Mkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini:
My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka ya ushoga ni mbaya sana
Hii ni Tanzania bana sio marekaniMarekani wameruhusu ushoga hadi jeshini... Makonda hajui anachotaka kukifanya.. Kwenye hili marekani watakuwa very serious na harshy.. Msishangae misaada yote kufutwa
akifika huko tu atawajua mana husasambua kama waalikwa wengine tena zaidi. kumbuka wahusika wa huko ni nani na hao wanaebda kivipi wsksti inawahusu wanawake. Sio lazima aende nwenyewe na makamera... atume wanawake askariAisee umemsaidia sanaa!! In short hotelini sidhani kama atawapata.. Na je atajuaje kuwa huyu ni shoga?
unashauri wapewe adhabu gani?Kweli kabisa
Tena wasifungwe maana huko wataenda fanya ujinga huo
Waadhibiwe iwe fundishonkwa wote