Makombora ya Iran yameunyima usingizi utawala haramu wa Israel,mabeberu na matakthiri wa kieneo

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Natumai u bukheri wa siha njema mwanaJf mwenzangu...Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania na jina la jamhuri ya kiislam ya Iran

Kwa muda wa miaka 40 sasa uwezo wa kijeshi wa Jamhuri ya kiislam ya Iran umewanyima usingizi na kuwatia kiwewe na jinamizi makhabithi wa kizayuni,madola ya kibeberu na vibaraka na matakthiri wa kieneo

Madola hayo ya kibeberu yenye kiburi yakiongozwa na utawala wa mjini Washington na London na lobi za wazayuni si tu zimekumbwa na wahka kuhusu statejia na uwezo mkubwa na irada ya wananchi wa Iran ya kiislam bali hata zimekua zikikhitilafiana namna ya kuingia katika satwa mpya au kujitumbukiza katika kinamasi cha vita na Iran ya kiislam

Madhali, utawala huo haramu wa israel kama kibaraka na mwana pendwa wa Washington na mshirika wa kisiri wa makhabithi wa kieneo umekua ukitoa dai eti kwamba wanaweza kuishambulia jamhuri ya kiislamu yenye nguvu na muqawama jambo ambalo utawala huo umekua ukiwa katika ngano hii ya ndoto kwa miaka takribani 40 sasa

Wazayuni hao waoga wanafahamu fika nguvu na irada ya muqawama wa wananchi wa iran na nguvu ya kimuqawama kuanzia iran,iraq,syria,lebanon na ghaza na kufahamu nguvu ya makombora ya jamhuri ya kiislam yenye uwezo wa kuusukumia utawala huo kharamu na katili katika bahari ya maangamizi

Kwa nukta hizi ni kwamba siku za utawala huu haramu zinahesabika huku madhalimu wengine wa kieneo na matakhiri siku zao za kusambaratika zikihesabika

Ala kulli..hali madhali muqawama unazidi kuongezeka basi wazayuni na mabeberu wajiandae kuonja joto la jiwe na kilichompata kanga manyoya siku za usoni

Nikiwambukushe tu ndugu wana Jf wenzangu kwamba mapinduzi ya kiislam sio tu yalizaa matunda ya irada, ruwaza ya uangavu kwa watia nia wote bali ilizaa mwamko mpya wa dunia dhidi ya kupingana na udhulumati,ukhabithi, kupigania haki duniani na kupambana na uistikibari wa madola ya kibeberu duniani pote

View attachment 1917928
images%20-%202021-08-31T125026.642.jpg
View attachment 1917927
 
Natumai u bukheri wa siha njema mwanaJf mwenzangu...Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania na jina la jamhuri ya kiislam ya Iran

Kwa muda wa miaka 40 sasa uwezo wa kijeshi wa Jamhuri ya kiislam ya Iran umewanyima usingizi na kuwatia kiwewe na jinamizi makhabithi wa kizayuni,madola ya kibeberu na vibaraka na matakthiri wa kieneo

Madola hayo ya kibeberu yenye kiburi yakiongozwa na utawala wa mjini Washington na London na lobi za wazayuni si tu zimekumbwa na wahka kuhusu statejia na uwezo mkubwa na irada ya wananchi wa Iran ya kiislam bali hata zimekua zikikhitilafiana namna ya kuingia katika satwa mpya au kujitumbukiza katika kinamasi cha vita na Iran ya kiislam

Madhali, utawala huo haramu wa israel kama kibaraka na mwana pendwa wa Washington na mshirika wa kisiri wa makhabithi wa kieneo umekua ukitoa dai eti kwamba wanaweza kuishambulia jamhuri ya kiislamu yenye nguvu na muqawama jambo ambalo utawala huo umekua ukiwa katika ngano hii ya ndoto kwa miaka takribani 40 sasa

Wazayuni hao waoga wanafahamu fika nguvu na irada ya muqawama wa wananchi wa iran na nguvu ya kimuqawama kuanzia iran,iraq,syria,lebanon na ghaza na kufahamu nguvu ya makombora ya jamhuri ya kiislam yenye uwezo wa kuusukumia utawala huo kharamu na katili katika bahari ya maangamizi

Kwa nukta hizi ni kwamba siku za utawala huu haramu zinahesabika huku madhalimu wengine wa kieneo na matakhiri siku zao za kusambaratika zikihesabika

Ala kulli..hali madhali muqawama unazidi kuongezeka basi wazayuni na mabeberu wajiandae kuonja joto la jiwe na kilichompata kanga manyoya siku za usoni

Nikiwambukushe tu ndugu wana Jf wenzangu kwamba mapinduzi ya kiislam sio tu yalizaa matunda ya irada, ruwaza ya uangavu kwa watia nia wote bali ilizaa mwamko mpya wa dunia dhidi ya kupingana na udhulumati,ukhabithi, na uistikibari wa madola ya kibeberu duniani pote

View attachment 1917928View attachment 1917929View attachment 1917927
Hakuna silaha au ulimi utainuja na kuishinda Israel. Take from me. Asante
 
msemaji mkuu na mueneza propaganda wa tehran katika ubora wake

wingi ya Afrika mashariki
 
Ikiwa US wameshindwa vita na Wataleban basi Irani ndiyo kabisaa hawawezi kuisogelea hata kidogo. Ubabe wa US kwishney!
 
Back
Top Bottom