Kama sio Iran basi Magaidi wangekua wameiteka Ulaya yote na Afrika

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Kama sio Iran basi magaidi wangekua wameiteka Ulaya yote na Africa!!

Kama sio msimamo na nguvu za Jamhuri ya kiislam ya Iran leo hii ulaya yote na Africa ingelikua chini ya magaidi hatari wa ISIS/ Daesh na makundi mengine magaidi wengine.

Iran ikaingia kuwafyeka magaidi wa ISIS bila kusita na Russia nayo ikafuata

Leo hii dunia imeokolewa na Iran na Russia

Kama sio Qassem Suleiman leo hii Africa na huku tz tungekua tumeshatekwa na magaidi bara zima.

Kama sio msimamo madhubutu wa Jamhuri ya kiislam ya Iran chini ya shujaa Ayatollah hujatil Islam Ayatollah Ali khamenei tungelikua tulishaisha.

Kumbuka hao magaidi na matakthiri waliofurutu mipaka walitengenezwa na Marekani na Utawala wa kizayuni wa Israel.

Na ndo maana ni ngumu kuitenganisha Israel na ISIS au Marekani na AlQaeda.

Israel ni mama wa magaidi

Marekani nae ni baba wa ugaidi

20240116_181035.jpg
20240116_124209.jpg
20240113_001358.jpg
20231231_161634.jpg
 

Attachments

  • 20240116_124209.jpg
    20240116_124209.jpg
    69.7 KB · Views: 2
Kama sio Iran basi magaidi wangekua wameiteka Ulaya yote na Africa!!

Kama sio msimamo na nguvu za Jamhuri ya kiislam ya Iran leo hii ulaya yote na Africa ingelikua chini ya magaidi hatari wa ISIS/Daesh na makundi mengine magaidi wengine.

Iran ikaingia kuwafyeka magaidi wa ISIS bila kusita na Russia nayo ikafuata

Leo hii dunia imeokolewa na Iran na Russia

Kama sio Qassem Suleiman leo hii Africa na huku tz tungekua tumeshatekwa na magaidi bara zima

Kama sio msimamo madhubutu wa Jamhuri ya kiislam ya Iran chini ya shujaa Ayatollah hujatil Islam Ayatollah Ali khamenei tungelikua tulishaisha

Kumbuka hao magaidi na matakthiri waliofurutu mipaka walitengenezwa na Marekani na Utawala wa kizayuni wa Israel

Na ndo maana ni ngumu kuitenganisha Israel na ISIS au Marekani na AlQaeda.

Israel ni mama wa magaidi

Marekani nae ni baba wa ugaidi

View attachment 2873911View attachment 2873912View attachment 2873914View attachment 2873915View attachment 2873916
Kwani hapa bongo ma ajent wa Daesh si wapo wsmejipachika kwenye vyama vya siasa ijapokuwa hawaamini secular state?
 
Uache ramli chonganishi. Lini iran ikawa si taifa lenye kulea magaidi duniani? Hilo ni taifa la kiislam duniani na linapenda kuona itakadi ya uislam wao unaenea katika mataifa mengine wanayoyateka
 
Back
Top Bottom