Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,063
Hizo ni propoganda hata kuna maboom ya USA pia mengine hayakulipuka Iran aliyaonyesha mbona mnatuonyesha moja tu simgetuonyesha mengi hahaPichani ni kombora la Iran lililoanguka katika eneo la Judea kaskazini mwa Israel ambapo halikufanikiwa kulipuka
Makombora ya Iran pamoja na kufika anga la Israel ila mengi hushindwa kulipuka, kutokuwa na shabaha na mengi hushindwa kupenya mifumo ya ulinzi wa anga hususan Iron Dome
Hii ni ishara ya uwepo wa ushindani mkubwa wa teknolojia ya juu ya kijeshi baina ya mataifa hayo mawili,
Zaidi ya makombora yanayofikia 45% hushindwa kulipuka
View attachment 3603699View attachment 3603701