Makomandoo wa ISIS

Hukumbuki kuna Uzi aliuleta kuhusiana na pm na mitongozo? Kuona vile namuogopa hata kumuanza
dogo usiogope !!

ng'ombe mkorofi ndo mwenye maziwa wewe!

anza mdo mdo mtaelewana tu....!

Kama mimi nimeweza, wewe unashindwa nini?
 
dogo usiogope !!

ng'ombe mkorofi ndo mwenye maziwa wewe!

anza mdo mdo mtaelewana tu....!

Kama mimi nimeweza, wewe unashindwa nini?

MMmmmmh lakini kweli, kuna formula aliileta MCHUNGUZI HURU kuhusu mitongozo wacha niipekue nianze kuifanyia kazi, ushauri wako nitaufata mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Waone hivyo hivyo na uzuri wao hawana roho hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…