Makomandoo wa Bongo


Hawa jamaa ndo walokuwa wanapasua tofari za cement kwa kichwa! Mi nna mashaka na ratio yavmchanga na cement walotumia kutengeneza hizo tofari. Mi naomba mwaka huu wachukue zile tofari ndogo wanazotumia kampuni ya strabag kutengeneza njia ya waenda kwa miguu. Naamin ndo itakuwa siku utakayo muona komandoo wa bongo akitoka nduki. Vile vidude nomaa. Halaf kitue kwenye ndonga! Lazma ugome kula or else nduki ndo salama yako.
 
KKJ
Hawa Jamaa wako fit sana, niliwahi kuona Coverage ya mazoezi yao mwaka jana kwenye Maadhimisho ya JWTZ Kupitia Kituo cha TBC, Ilikuwa nzuri na baadhi yao walihojiwa pia.

Yaani vile vimazoezi ndio unaongelea eti komandoo?

Dunia ya sasa nani anapasua matofali? Nani ana angushwa na parachuti directly eneo husika? Nani atakutandika fimbo hadi ivunjike? Uliona ndege zina zunguka ovyo ovyo!!
Jenga tabia ya kuangilia BBC swahili, CNN, Al jazeera uone midude!

Russia, USA, nk wanakupiga huku jamaa (mrusha mzinga)anakoroma usingizi mzito.
 

hahaha
 
 
Mkuu makomandoo tunao lakini sika katika Level zilee, sababu kubwa ni kwamba jeshi letu siasa zimeingia kati na weledi si suala linalozingatiwa kihivyoo. Tuna upungufu mkubwa sana katika "Elite Forces" hii inatokana na mfumo mzima wa recruitment katika majeshi yetu. Binafsi nimepita Jeshini(JWTZ) nimeona hilo wengi wa makomandoo wetu ni design zile za kufyatua matofali! kitu ambacho katika ulimwengu wa sasa katika vita hakina tija! Kingine nilichoobserve ni ukosefu wa uzalendo miongoni mwa askari wetu wengi yaani wengi ni "askari mshahara" sasa unapokuwa na askari wengi wenye mentality hiyo ni ngumu kupata makomandoo wenye weledi uliotukuka!
 

Umesahau kuvunja matofali kwa kichwa KakaJambazi
 
Last edited by a moderator:
 
Hiyo Ratio ndogo changanya na wewe kisha vunja.
 

-Majuzi Russia katengeneza ndege ambayo unaweza ukaingiza Wanajeshi maelfu.
-Mbali na hiyo, mwaka jana alizindua boti ambayo unaingiza Maelfu ya Wanajeshi pamoja na vifaa vyao kama vifaru n.k
Sasa kama hakuna ulazima wa wanajeshi wa Ardhi, kwanini atengeneze vyote hivyo?
-Ndege huwa haziteki nchi, zenyewe ni ktk mission ndogondogo tuu, ndo maana kuna maeneo ambayo huwezi kutumia ndege USA anachapwa tuu.
 

Kuwa komandoo haimaanish huogopi kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…