na mimi ngoja nikuchekiNicheck watsup 0714973059 Gluck online
Mungu akuepushie mbaliKumbe unajua kama una kisima kooni ya nini kusumbuka...uwe una kinga tu jagi adi yajae
sipo watsup mpendwa nisaidie hapa plizNicheck watsup 0714973059 Gluck online
mimi hata kilimi sina yaani ni shidaHata mimi nina ugonjwa huo, miaka 16 sasa nipo nayo tu, yani huwa nahisi yapo kama kisima kooni hapa, huwa nayavuta na kuyatema mara kwa mara, sijajua ni ugonjwa gani huo? wakati mwingine huwa nahisi kile kilimi labda ni kirefu ndio kimesababisha hivyo
POA nitakutafutaTatizo linaitwa phlegmy throat kwa information tumia 0742706740
Kwa dawa jeTatizo linaitwa phlegmy throat kwa information tumia 0742706740
thanks so muchtukiachana na madawa ki ki ya hospitali, dawa rahisi ni asali kijiko kimoja asubuhi, kimoja mchana na kimoja usiku.
Kuepuka vumbi na matumizi ya sigara.
Hiyo asali ni unaimeza taratibu sio fasta kama unataka ushibe vile
hapana mkuuUlipona hili tatizo?
Mimi nadhani lina associate na mambo ya allergiesAisee na mimi niko field ya afya lakin hilo tatizo ninalo na linanikera,,
Nashukuru sana mkuuKikohozi kisichoisha Ambacho huwa kikali sana Usiku mara nyingi huwa kinasababishwa na allergy ambayo hupelekea kuzalishwa kwa Mucus nyepesi ambayo hutrigger kikohozi..!! Unaweza tumia antibiotics kama amoxclav au ampiclox lakini hakitapona..