Makochi set ya watu saba yanuzwa

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Nauza makochi ya watu saba kwa bei ya tshs. 900,000/= tu.
Nimeyatumia kwa miaka 3 ila yako katika hali nzuri
ni moja kubwa la watu 3, na moja la watu wawili na mawili ya mtu mmoja mmoja.
Kitambaa ni kizuri
yapo changombe jirani na njia panda ya kwenda tcc club.
Wasiliana na namba 0713 68 96 65
 
Picha kwanza na kitambaa gan yamedizainiwa au leather ngumu?
 
Makochi au sofa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…