Makocha wengi kutimuliwa baada ya fainali za wcup2010

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
sehemu kubwa ya makocha wa timu zilizofanya vibaya kwenye mashindano yanayoendelea nchini a.kusini watatimuliwa
 
Italy & France walishatangaza makocha wapya kabla hawajenda World Cup.Carlos Pereira,Otto Rehegal,Paul Le Guen wameamua kubwaga manyanga
 
Sauzi wao mkataba na Pereila umekwisha so kocha wa Cameroon nae anatakiwa kuachia ngazi kwa timu yake kutia AIBU AFRICA Hta kupata kapoint kamoja !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom