Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,858
- 62,364
Makobazi, a.k.a Sandals ni vazi pendwa kwa wachamungu wengi, toka enzi za kale za manabii, vazi la miguuni la makobazi limekuwa ni mujarabu kabisa.
Uzuri wa kobazi hili ni kuwa ni vazi jepesi, vazi modest, lisilo na mbwembe, flexible kufanya Ibada.
Katika manabii waliokuwa wakipenda vazi hili ni Yesu wa Nazareth. Biblia inatufundisha haya katika agano jipya kitabu cha Mathayo na Marko.
Kitabu cha Mathew 3:11 kinasema:
11 “I baptize you with[a] water for repentance. But after me comes one who is more powerful than I, whose sandals I am not worthy to carry. He will baptize you with the Holy Spirit and fire.
Kwenye hili andiko Yohana anamuelezea Yesu wa Nazareth kuwa ni mtu ambaye Yeye Yohana hastahili hata kubeba Makobazi yake.
Nikiangalia mtandao wa Bible Gateway ya kiswahili naona pia wanatumia neno makobazi kwa wingi kumaanisha sandals.
Kwa hiyo nawashauri wale wote wanaotaka kufuata nyendo za manabii. Makobazi ni vazi zuri tulivae kama Yesu wa Nazareth alivyolivaa.