MAKINIKIA

mwasamajengo

Member
Aug 6, 2013
19
5
Nashangaa kwa nini ripoti ya [HASHTAG]#MAKINIKIA[/HASHTAG] imeshindwa kupendekeza [HASHTAG]#chama[/HASHTAG] kufutwa??? Viongozi walio tokana na [HASHTAG]#CHAMA[/HASHTAG] ndio walio tufikisha hapa, yaan kuingia mikataba ya kipuuzi, mchawi mkubwa ni [HASHTAG]#CHAMA[/HASHTAG], kila mtu atakae chunguzwa kuanzia mawaziri mpaka wanasheria wote ni [HASHTAG]#MAKADA[/HASHTAG], wapinzani walio kuwa wakipigia kelele huu ufisadi walionekana ni wapinga maendeleo, [HASHTAG]#spika[/HASHTAG] wa bunge wa sasa ndiye aliye kuwa naibu spika wakati ule mikataba ya gesi ya kipuuz ikipitishwa kwa nguvu ya [HASHTAG]#CHAMA[/HASHTAG] bungeni, leo hii nae anashangaa na kulaumu eti tunaibiwa.

#Have_long_life_MR_president. You are fighting with your own shadow.
 
Sio tu kufutwa, ila na viongozi wake kutandikwa viboko hadharani
 
Back
Top Bottom