Makinikia ya DR Congo bado kidogo yakubaliwe kupitishwa katika reli na bandari zetu

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,372
6,118
Kampuni ya madini ya AVZ Minerals inajadiliana na Serikali ya Tanzania kuruhusiwa kupitisha Makinikia katika reli na bandari zetu. Hili ni jambo jema sana na la tija kwa nchi yetu.

Ila linashangaza sana kama tunakumbuka wakati wa mawasilisho ya Tume ya Prof. Mruma na Prof.Ossoro walibainisha nchi yetu kuwa na uwezo wa kushughulikia makinikia hapahapa Tanzania.

Sasa, ilitupate faida na kutengeneza ajira kwa ajili ya Watanzania, kwa nini tusiwashawishi AVZ Minerals kuchakatia makanikia yao hapa?


 
Ila linashangaza sana kama tunakumbuka wakati wa mawasilisho wa Tume ya Prof. Mruma na Prof.Ossoro walibainisha nchi yetu kuwa na uwezo wa kushughulikia makinikia hapahapa Tanzania.
Hiyo ilikuwa Professorial............... Hata kwenye mkataba wa GoT na wanaume wa BARRICK kuna clause inayoweka kando ulazima wa Barick kujenga smelter hivyo hata haya Makinikia ya TZ itabidi yaendelee kupelekwa huko nje.
Labda kwa sababu siye tunatembea kifua mbele tunaweza kumua kununua na kuweka smelter hapa Tanzania ( nayasema haya kwa muktadha wa awamu ya 5-sishauri chochote hapa).
 
Back
Top Bottom