Hawa matapeli wameshaibia sana watu kwenye vifaa vya kielectronics wanaweka bei rahisi kumvutia mteja ukijaa tu wanakupiga.BEI 420,000/=
TUNAJUA MAFUTA YAMEPANDA BEI PIGA CHINI GHARAMA HIZO TUKUPATIE BASKELI YA KISASA YA UMEME YENYE BATTERY [emoji367] YENYE NGUVU KUBWA ZAIDI , UTAWEZA KUTEMBELEA HADI KILOMETER 120-150 BILA KUSUMBUKA / UNAWEZA KUTUMIAMIFUMO YOTE KWA KUKANYAGA PEDAL AU KUENDESHA KWA UMEME TUPIGIE [emoji3513]LEO TUKUHUDUMIE AU TUMA UJUMBE KWA NJIA YA WHATSAPP NO 0755837542/ OFFER YA USAFIRI [emoji924]
BURE NA VIFAA VYAKE BADO ZIPO KARIBU / TUNASAFIRISHA POPOTE TANZANIA NA NJE YA NCHI PIA
LOCATION [emoji625]ZANZIBAR PEMBA KIUYU
Ofisini kwetu tuliziona hizo baiskeli na kuvutiwa nazo sana lakini tukaweka mashaka makubwa kwenye bei.. Hivyo kujiridhisha tukafanya mawasiliano na wahusika. Wakasema imebaki moja tuu na tufanye malipo haraka tutumiwe mzigo
Tulicheki na vyanzo vyetu Zanzibar na Pemba lakini tukakuta hakuna kitu kama hicho, tulitumia pia namba tofauti tatu lakini kila moja ilipewa maelezo tofauti
Huko FM/META bado jamaa wanapost na pengine wameshawapiga watu. Nimeleta hapa kama tahadhari ili vilio visije kuwa vingi baadaeView attachment 2302880
Wabongo wanaumizwa sanaBEI 420,000/=
TUNAJUA MAFUTA YAMEPANDA BEI PIGA CHINI GHARAMA HIZO TUKUPATIE BASKELI YA KISASA YA UMEME YENYE BATTERY [emoji367] YENYE NGUVU KUBWA ZAIDI , UTAWEZA KUTEMBELEA HADI KILOMETER 120-150 BILA KUSUMBUKA / UNAWEZA KUTUMIA MIFUMO YOTE KWA KUKANYAGA PEDAL AU KUENDESHA KWA UMEME TUPIGIE [emoji3513]LEO TUKUHUDUMIE AU TUMA UJUMBE KWA NJIA YA WHATSAPP NO 0755837542/ OFFER YA USAFIRI [emoji924]

Walimu tumikukosea nini mkuu?Wazee wa Kitonga watapigwa tu, huwa ni wavivu wa kufanya due deligence. Walimu wetu LAZIMA wapigwe
Hamjamkosea kitu mkuu.Changamoto yenu mna nyoyo nyepesi kumuamini mtu na ni watu wavumilivu wa maumivu makali.Walimu tumikukosea nini mkuu?
Au nimesema uongo Ndugu Yangu??Walimu tumikukosea nini mkuu?
Hizo baiskeli zinauzwa 2.5ml kwa anaye hitaji tuwasiliane nimuagizie kutoka Germany online!
Asante kwa kutujulisha.BEI 420,000/=
TUNAJUA MAFUTA YAMEPANDA BEI PIGA CHINI GHARAMA HIZO TUKUPATIE BASKELI YA KISASA YA UMEME YENYE BATTERY [emoji367] YENYE NGUVU KUBWA ZAIDI , UTAWEZA KUTEMBELEA HADI KILOMETER 120-150 BILA KUSUMBUKA / UNAWEZA KUTUMIA MIFUMO YOTE KWA KUKANYAGA PEDAL AU KUENDESHA KWA UMEME TUPIGIE [emoji3513]LEO TUKUHUDUMIE AU TUMA UJUMBE KWA NJIA YA WHATSAPP NO 0755837542/ OFFER YA USAFIRI [emoji924]
BURE NA VIFAA VYAKE BADO ZIPO KARIBU / TUNASAFIRISHA POPOTE TANZANIA NA NJE YA NCHI PIA
LOCATION [emoji625]ZANZIBAR PEMBA KIUYU
Ofisini kwetu tuliziona hizo baiskeli na kuvutiwa nazo sana lakini tukaweka mashaka makubwa kwenye bei.. Hivyo kujiridhisha tukafanya mawasiliano na wahusika. Wakasema imebaki moja tuu na tufanye malipo haraka tutumiwe mzigo
Tulicheki na vyanzo vyetu Zanzibar na Pemba lakini tukakuta hakuna kitu kama hicho, tulitumia pia namba tofauti tatu lakini kila moja ilipewa maelezo tofauti
Huko FM/META bado jamaa wanapost na pengine wameshawapiga watu. Nimeleta hapa kama tahadhari ili vilio visije kuwa vingi baadaeView attachment 2302880
Peps ndio nini?Agiza peps