Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Iliishia wapi, huyo baharia alipona?
 
Ya kweli hayo?
 
Nani anasema ushirikina haupo?

 
NAKAZIA KWA HERUFI KUBWA KABISA MKUU
 
[emoji23][emoji23][emoji23]aah wapi! Umpasue mtu mwaka mzima usijue kuwa ni mwanga!?
Wachaaaa wewe tena hizi pisi kama pisi ndio waga zina balaa chale hadi kwenye makalio na hamjui yani
 
Hili ni jambo muhimu tena ikiwezekana liwe ibara ya kwanza kabisa, "wanaume wana haki ya msingi na kikatiba ya kutokurogwa"
wanaume wana haki ya msingi na kikatiba ya kutokurogwa"[emoji3][emoji3][emoji3]
 
wanaume wana haki ya msingi na kikatiba ya kutokurogwa"[emoji3][emoji3][emoji3]
Serikali inajifanya haitambui uchawi wakati wao wenyewe huko huko serikalini wanashinda wanarogana...tunataka katiba inayoenda na wakati na inayoakisi maisha halisi ya mtanzania🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…