Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,861
- 13,838
Sawa bw CPA UCHWARA SUNZU BOBAN.Sifa za Uto kusajiliwa ni uwe za 38 ukitokea Simba
Sawa bw CPA UCHWARA SUNZU BOBAN.Sifa za Uto kusajiliwa ni uwe za 38 ukitokea Simba
Sasa hivi pongezi anapewa MO kwa usajili ligi ikianza matusi anapewa Mzee wetu Mangungu.View attachment 3036701
View attachment 3036702
View attachment 3036703
Hapa ni baadhi ya makinda wachache wakiwa Uwanja wa Ndege tayari kwenda kupata utulivu Egypt
Pongezi kwa tajiri namba moja Mo Dewji, na uongozi wote wa Simba SC