Makinda msome spika marende wa kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda msome spika marende wa kenya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Khakha, Feb 18, 2011.

 1. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mhe Spika wa Bunge la Kenya ndg Marende ametengua uamuzi wa Kibaki bila kufuata vipengele vya katiba mpya ya Kenya kwa kuteua viongozi wa mhimili wa sheria. huo ndio uspika sio jaaaazba tu muda wote. makinda achana na kina EL na RA.

  Source; Daily Nation.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu... Keneth Marende ni mwanasheria wa hali ya juu ... anajua haswa nini maana ya mhimili wa bunge ... anatumia high profile justice kuendesha mhimili huu .... kwenye mchezo wa karata mama makinda ni maviyambuzi
   
 3. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  asilimia kubwa ya parliament speakers in the world wana uelewa mkubwa wa sheria. Hivi semamba cv yake ndo kujua kanuni tu za bunge?
   
 4. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bila damu kumwagika, Tanzania itaendelea hivi hivi labda azaliwe Nyerere mwingine.... Kuna kikundi cha watu wachache sana wa CCM wanajiona wenyewe ndo owners wa nchi hii wakati ni yetu wote.... Ipo siku kitaeleweka Tanzania.... Hongera Spika Marende, Kip it up!?
   
 5. A

  Awo JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 793
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Nimeisoma ruling ya Hon Marende - talking about people who know their jobs! Amenifurahisha sana alivyoamua whether there was consultation between the President and the PM.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wala tusilaumu Makinda, tulaumu CCM waliomuweka pale wakati wana wataalam wenye weledi ya hali ya juu... na nijuavyo mimi spika si lazima atwe mbunge, au nimekosea?
   
 7. W

  WildCard JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Anna ni Spika kwa kiti maalum. CCM imeamua awe pale. Hakuwa na sifa. Kenya wana KATIBA mpya. Madaraka ya Rais yamepunguzwa sana. Hateui kwakujisikia, kwa kulipa fadhila, wala kwa kujuana au kwa ufuasi na utiifu usio na shaka. Natamani kuwa Mkenya kwa katiba yao ya sasa.
   
Loading...