Spika Anna Makinda kwa mara nyingine tena amewafunga midomo wabunge kwa kukataa hoja yoyote binafsi ambayo ilikuwa inataka kujadili swala la gesi ya Mtwara eti kwa kisingizio kwamba kuwa ni zito na nyeti, linalopaswa kujadiliwa kwa hekima kubwa na busara ya kutosha ili kupata muafaka wa kweli.
Swali ni kwamba wabunge waliochaguliwa na watanzania hawana busara za kutosha kujadili maswala la kitaifa???? na nina anapaswa ajadili maswala yetu??
Huu ni muendelezo mwengine wa kubananga demokrasia.
yaani anatuaminisha watanzania wawakilishi wetu tuliowachagua hapo bungeni watuwakilishe tulichagua mabolizozo ambayo hayajui a wala z ya unyeti wa taifa hili na rasilimali zake. Wabunge wetu hawana akili na busara ya kujadili masuala nyeti ya kitaifa mbona hii ni kashifa nzito kwa bunge na uongozi wake. Nadhani amepotoka au alikusudia ili kuwalidhisha wakubwa wake waliomweka hapo
Ndg yangu makinda amefanya vema ameshajua bunge letu halina maana tena,halina maamuzi,ni bunge la watu wasio na uwezo wa kujadili mambo ya maana,limebaki kama kijiwe cha kupiga soga na kungonoana tu.
Na hapo ndipo busara na uimara wa uongozi wa Bunge unapotakiwa kuonekana. Kama kiongozi wa mhimili wa utawala, Spika alikuwa na mamlaka (uwezo) wa kuinglia suala hili tangu mapema, lakini hakufanya hivyo mpaka pale alipoanza kupokea hoja (shinikizo) kutoka kwa wabunge hao hao ambao baadhio yao tunawatuhumu kwa kukosa busara.Kwa hili nadhani spika ameamua vyema. Ukweli ni kuwa mara nyingi huwa nahoji busara ya wabunge wetu wengi na iwapo kweli wananchi tunapata value for money kwenye huu mchakato wa bunge. Nadhani wengi wa wabunge wanatumia vichwa vyao kufugia nywele na si kutafakari mustakabali wa nchi yetu.
Na hapo ndipo busara na uimara wa uongozi wa Bunge unapotakiwa kuonekana. Kama kiongozi wa mhimili wa utawala, Spika alikuwa na mamlaka (uwezo) wa kuinglia suala hili tangu mapema, lakini hakufanya hivyo mpaka pale alipoanza kupokea hoja (shinikizo) kutoka kwa wabunge hao hao ambao baadhio yao tunawatuhumu kwa kukosa busara.
Kwangu mimi, udhaifu wa wabunge ni kielelezo cha udhaifu wa uongozi wa Bunge. kama tungekuwa na uongozi wa Bunge imara, wabunge dhaifu wasingepata nafasi ya kuonyesha udhaifu wao
Heshima mkuu.kwa mtazamo wangu hili ni tusi baya sana kwa wazazi wetu wote na sio kwa huyu bibi tu kwani ukimshutumu mtu kwaajili ya kitu ambacho ni relating to or concerning nature. hapo ebu jaribu kumfikria mtu mwingine amwambie hivyo mama yako mzazi utajisikiaje? hata kama tunaichukui ccm pamoja na watu wake lakini tujaribu kuwasilisha hisia zetu kwa namna ambayo inaweza kuwa sio matusi. uliposema hivyo nimemwona mama yangu na nikajihisi vibaya sana
Absolutely
Yeye maamuzi yake ni zaidi ya matusi kwasababu athari yake nikubwa kwa maisha yetu lakini hilo unalosema ni tusi halimuadhiri kwa chochoteHeshima mkuu.kwa mtazamo wangu hili ni tusi baya sana kwa wazazi wetu wote na sio kwa huyu bibi tu kwani ukimshutumu mtu kwaajili ya kitu ambacho ni relating to or concerning nature. hapo ebu jaribu kumfikria mtu mwingine amwambie hivyo mama yako mzazi utajisikiaje? hata kama tunaichukui ccm pamoja na watu wake lakini tujaribu kuwasilisha hisia zetu kwa namna ambayo inaweza kuwa sio matusi. uliposema hivyo nimemwona mama yangu na nikajihisi vibaya sana
Yeye maamuzi yake ni zaidi ya matusi kwasababu athari yake nikubwa kwa maisha yetu lakini hilo unalosema ni tusi halimuadhiri kwa chochote
always huyu mama ananichefua kuliko maelezo... natamani angejua
Far from that, ninamaanisha the oposite. Kuwa wabunge hawawezi kuwa dhaifu kama uongozi wa bunge si dhaifuUnafurahisha unavyojaribu kutenganisha uwezo wa wabunge na wa viongozi wao.