Makinda amepewa escot ya polisi?

Barabara zenyewe ziko wpi kuwa na misafara mia kidogo, wanawasumbua tu wananchi watumie helcopter

kula tano! Asubuhi na jioni inakuwa shida kweli mitaa ya Salenda na Ocean Road. Kila baada ya dakika chache ving'ora na traffic polisi wana panic hovyo hovyo
 
Seriously, viongozi wanaotumia escot ya polisi wamekuwa wengi na bahati mbaya wanaishi upande mmoja wa jiji. Labda msafara uwe mmoja ubebe wote kwa mara moja siyo kila baada ya dakika chache mmefukuzwa barabarani au kusimamishwa kwa muda mrefu eti kuna kiongozi anasubiriwa apite
 
Back
Top Bottom