Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Hilo napiga kwa nguvu zote CAG hana escort hata siku moja. But anyway nilishaona kwa macho yangu jaji mkuu,mkuu wa majeshi,mkuu wa polisi wakiwa na escort na mama salma pia nlishakutana akiwa na escort pia
Naskia juzi walimpa saluti alivyoenda kutembelea wahanga wa GLM.
Mh. Sita alipoomba ulinzi walimkebehi kwa vile Rostam hakuridhia, sasa Makinda mtu wao ameboronga wanahangaika kumlinda, kama hizi taarifa ni za kweli inasikitisha.
Maspika wote waliotangulia sijawahi ona wakiwa na ulinzi/msafara, Mh. Sita tunasali nae KKKT Kinondoni alikuwa anakuja bila escot, hata Msekwa sikuwahi ona akipewa escort (isipokuwa kuna siku alikaimu urais kwa mujibu wa katiba, labda kama nae kakaimu)
Na bado mchecheto utazidi si amekubali kutumika na wenye dhambi, hakuna baraka hapo ni hofu tu kwa kwenda mbele.
nahisi atakuwa anamkaimu rais kwa mujibu wa katiba coz jamaa hayupo na makam wake sina uhakika yuko pande zip maana hasikiki.
wewe upo? Mbona umeadimika? Au mapokezi ya al adawi?
Mawazo yako kuhusu wabunge na madiwani wa viti maalumu ni muhimu sana! hata huyu speaker si viti maalumu? Au?
Jamani, huyu ni kiongozi wa mhimili wa dola (utawala), kuna ubaya gani wa yeye kuwa na msafara na ulinzi?
Hilo napiga kwa nguvu zote CAG hana escort hata siku moja. But anyway nilishaona kwa macho yangu jaji mkuu,mkuu wa majeshi,mkuu wa polisi wakiwa na escort na mama salma pia nlishakutana akiwa na escort pia
Unajua gharama yake, huo ndo ufujaji wa mali za watz
It is only Tanzania wanamuomba Spika ni mtu mdogo... in reality... reporting structure ya Spika, Rais na Jaji mkuu wote wana-report kwa jamhuri... no wengine wote wanaripoti kwa mtu kiongozi mmoja... so Spika anastahili ulinzi sana tu.
wakuu, kila siku huwa napishana na makinda asubuhi akienda ofisini dar. Huwa anakuwa kwenye benz au sahangingi bila msafara wa polisi.
Leo jioni nimepishana na msafara wa pikipiki ya polisi na shangingi mbili nyeusi. Shangingi moja plate number yake ilikuwa imeangikwa s.
Sikuweza kuona nani walikuwa ndani kwenye kila gari. Dereva wangu aliniambia alimuona makinda kwenye ile gari yenye plate numba ya s. Sina hakika kama ni kweli.
Kwa mwenye taarifa za uhakika, je ni kweli makinda amepewa ulinzi na msafara wa polisi?
Kumbe? Ni nani anakaimu kama makamu wa rais naye hayupo?
Watakoma maana kuna wahuni wamejipanga kuwafanyia vibaya, si uliona advertise zao kule kwenye msiba gongolamboto!!! walipiga 7 hewani na wakaondoka sasa watashindwa kumkamata Makinda???