idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,308 Reaction score 38,526 Apr 10, 2012 #1 amwambia mkulo atafute majibu ya maana kwa swali la mh. Zitto baada ya majibu ya awali kukataliwa... nahisi mama ameamuka toka usingizi wa ccm.
amwambia mkulo atafute majibu ya maana kwa swali la mh. Zitto baada ya majibu ya awali kukataliwa... nahisi mama ameamuka toka usingizi wa ccm.
L Loomu Senior Member Joined Sep 16, 2011 Posts 103 Reaction score 18 Apr 10, 2012 #2 Wao wasiamke, watanzania tayari wameamka kwahiyo wao wakiendelea kulala we have good option.
Mlitika JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 457 Reaction score 260 Apr 10, 2012 #3 Too late to catch the train!