She is just OK.......hili bunge hata angekuwa nani lingempa shida......lina damu changa yenye uchungu na hii nchi....lina wanaotafuta umaarufu wa kisiasa,lina wenye nia ya kukuza vyama vyao,lina waongo wa wazi wazi,lina ushabiki wa kijinga,lina wasio na maadili na heshima kwa yeyote na lina wenye spirit za liwalo na liwe.....Watu wana malengo tofauti,hakuna anayekubali kuwa chini......na kwa minajili hiyo maslahi ya nchi yatajibiwa kwa lugha za mitaani au watu hawatajadili hoja kila saa ni Mh.Spika utaratibu,Mh Spika Taarifa,Mh Spika kanuni fulani.....inakera....