Makete: CHADEMA vitongoji 46 na CCM 1

Makete: CHADEMA vitongoji 46 na CCM 1

Najaribu kutafuta watu wa huko lakini kama ni kweli basi weekend yangu itakuwa nzuri sana...
 
Habari kama hizi zitawafanya CCM wasaini mikataba mingi zaidi hiyo jumatatu na Obama!! Lakini yote 9, 10 ni 2015 ambapo kila raia ana thamani safari hii. Tutabeba hata wazee wasioweza kutembea wakapige kura.
 
Tuulize kwanza usahihi wa habari hii kabla ya kuanza kujipongeza,naweza nikaanza kusaga kinana hapa halafu habari yenyewe ikaja kuwa kinyume,nani atanilipa fidia?
 
Tuulize kwanza usahihi wa habari hii kabla ya kuanza kujipongeza,naweza nikaanza kusaga kinana hapa halafu habari yenyewe ikaja kuwa kinyume,nani atanilipa fidia?
Safi sana Capt. Hata mimi kilaji changu ni Kinana moto. Mie huwa nakula Kinana Jr, yule wa TBL, wewe je?
 
Safi sana Capt. Hata mimi kilaji changu ni Kinana moto. Mie huwa nakula Kinana Jr, yule wa TBL, wewe je?
Mi nakula kinana senior!!napita kwanza Parma napiga spiced meat kilo moja,then naanza kutafuna tembo kama kinana vile.
 
tumetambua ukombozi hautapatikana kwa kupiga siasa mijini, sasa tupo vijiji vyote na bado harakati zinapamba moto
 
Back
Top Bottom