Makete: CHADEMA vitongoji 46 na CCM 1

Makete: CHADEMA vitongoji 46 na CCM 1

Najaribu kuwaza namna Filikunjombe atavyo cross na kuomba kusimama kwa tiketi ya chadema baada ya kuona viongozi wengi kwenye grassroots wanawakilisha chadema. Jimboni kwa bi mkora sijui kama chadema wamefika kwa kiasi gani kule manake katika wamama ninaowachukia anaweza kuwa anaongoza
 
Kinana si alikuwa huko na Nape juzi juzi.
 
yaliyotokea huko ndiyo yatakayotokea Arusha hata wahairishe mara kumi,kwa Arusha akuna atakaeiba kura tutawaomba wabunge wate wa chadema kuja kusimamia kura zinavyopingwa na katika kuesabu. sisi kama wapiga kura wala hatutaki kampeni tena.

...Huu ndo msimamo wetu Arusha kuhakikisha ccm hawapati hata kura moja.....stay tuned....
 
Jamani Makete ilivyo a strong base ya CCM nako mambo yameshaanza kuharibika? OMG!!
 
Chadema ndio babu kubwa,waache waendelee na issue ya bomu Arusha huku wakijua wanaipaisha chadema,M4C inafanya kazi pipoooooooooooz
 
Hawa magamba mungu anewapa moyo mgumu kama wa farao zama za musa. Kila wafanyalo wanakosea 4rm vinywani til matendo! Cku zao zinahesabika
 
chadema chademaaa pipoz power*2
we chadema chademaaa pipoz powerrrrrt
mwigulu bwiiiiiii
nape bwiiiiiii
ccm bwiiiiiiii
CHADEMA Oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ahhhhhhha hiiiiiiiiii ahiiiiiii acha kulia nape , mwigulu na wew ni magaidiiiiiiiii ahiiii ahiiiiia hiiii viva wakinga nawa bena
 
Bado sijaiamini hii habari,uchaguzi huo umefanyika lini? Wapi m
ajina ya vitongoji hivyo?
 
kama ni habari ya kweli basi week end inaanza vizuri
 
Vitongoji 46 cdm na ccm 1. Mburura weee unadhani ccm ipo kibubusa kama cdm.
 
Back
Top Bottom