Mwana wa mungu nakumbuka uliwahi kutoa comment hiyo hapo chini. Kweli unaniach hoi.
Re: Soko la Tandika Lauzwa
--------------------------------------------------------------------------------
kama ni chafu, uza. uza hata masoko mengine yaliyobaki kama tandare,buguruni, magomeni, kimala na mengine. tunahitaji majengo mazuri, mapya, yenye usafi, vyoo vizuri, na wauzaji wazuri. sio unanunua kitu anayekuuzia ameenda ****** hajanawa mikono, anatoka jasho, nguo chafu, chini tope hajafanya usafi hopeless. ni bora tuuze na ikiwezekana wenye uwezo wajenge majengo mazuri ya kisasa ya masoko. hatuwezi kubakia na mambo ya kizamani ili kuwafurahisha machinga!