Umeanza lini kuangalia vitu utube? Maana kuna vitufe vya thumb up na thumb down.Ningeshauri YOUTUBE waweke kitufe cha LIKE na DISLIKE.
Ktk hizo views, kuna wengine walienda angalia baada ya video kupata promo sana, ila wakaishia kuwa dissappointed, binafsi nimeipenda video ila audio ya kawaida sana. Ila Mond ni brand siku hizi, hata akitoa audio mbovu itapendwa tu.
Nimeanza kuangalia YOUTUBE 2008, kwa kusoma materials kwa kutumia video za kozi niliyosoma kupitia mtandaoni.Umeanza lini kuangalia vitu utube? Maana kuna vitufe vya thumb up na thumb down.
Unaongea vitu hata huvijui masikini
Ridhika tu brother usiwe mbishiNimeanza kuangalia YOUTUBE 2008, kwa kusoma materials kwa kutumia video za kozi niliyosoma kupitia mtandaoni.
Kwa hiyo hiyo 1m views zote ni THUMP UP? au zinajumuisha lovers na haters wa huo wimbo? Ndio ppint yangu ilipo.
Ukinijuza hapa nitaridhika.
Okay, kwakua nimejua kwamba hujui ngoja nikujuze.Nimeanza kuangalia YOUTUBE 2008, kwa kusoma materials kwa kutumia video za kozi niliyosoma kupitia mtandaoni.
Kwa hiyo hiyo 1m views zote ni THUMP UP? au zinajumuisha lovers na haters wa huo wimbo? Ndio ppint yangu ilipo.
Ukinijuza hapa nitaridhika.
Nashukuru kwa somo, ila haujanijibu swali langu.Okay, kwakua nimejua kwamba hujui ngoja nikujuze.
Hiyo 1m views ni idadi ya watu walioangalia. Kwa chini au kulia utaona alama ya thumb up [emoji106] inayoonyesha idadi ya watu waliopenda hiyo video.... kisha kuna alama ya thumb down [emoji107] inayoonyesha idadi ya watu ambao hawajaipenda video. Hizi idadi hazihusiani na alama ya viewers. Mtu anaweza akaangalia na asiipe like au dislike akaacha tu.
Ni maajabu eti uanze kutumia utube 2008 usijue kama kuna alama ya like na dislike.
Hongera kwa kujifunza leo
Anko, sijasema 1m views ni likes. VIEWS...VIEWS...VIEWSNashukuru kwa somo, ila haujanijibu swali langu.
HIYO 1M VIEWS UNATAMBUA VIPI KWAMBA ZOTE NI 'LIKES'? Au hapa issue ni kuwa na views hata kama lako sita ni DISLIKES, haijalishi, ishu ni 1M?
Maana kwa jinsi uzi ulivoletwa na watu kama wewe mmetafsiri hizo views kwamba zote ni LIKES ingawa umekiri kuwa mtu ana option ya au ku, ila hawajafanya hivyo kutokana labda na kuona wanapoyeza muda.
Nashukuru kwa somo MY PROTEGE.
Niridhike na nini?Ridhika tu brother usiwe mbishi
Ni mwizi.Beat ya number one,alikuwa ashirikishwe na Dayna nyange,yeye akamuhonga sheddy clever akapewa beat.Wimbo wa nana,amesample wimbo wa Praiz unaitwa Mercy.Huu tena,amesample wimbo wa Timaya unaitwa sanko.Wimbo wa utanipenda,amechukua idea ya je,utanipenda wa Alice,locked away pia wa R-City.
Mkuu views ni tofauti na thumb up or thumb down. Views ina idadi yake, thumb up ina idadi yake na thumb down ina idadi yake pia.Nimeanza kuangalia YOUTUBE 2008, kwa kusoma materials kwa kutumia video za kozi niliyosoma kupitia mtandaoni.
Kwa hiyo hiyo 1m views zote ni THUMP UP? au zinajumuisha lovers na haters wa huo wimbo? Ndio ppint yangu ilipo.
Ukinijuza hapa nitaridhika.
Wanalifahamu hilo majirani zetu team Mzee Kiba.Huyu msanii wetu Diamond nyota yake ni kali sana
wivu tuSwali ambalo hadi sasa sijapata jibu ni kwamba hawa wanaoiponda hii ngoma wanatumia vigezo gani hasa!!
mkuu jaribu kuusikiliza kwa speaker za HI-FI.. tehpengine unataka tu ubishi kua kwenye chat South Africa cio kigezo cha kusema ni wimbo mzuri kwn kuna nyimbo ngap uku bongo zipo kwenye chat shows lkn SA hazijulikan huo wimbo wa kawaida tu narudia me napenda nyimbo za diamond lkn huu cja uckiliza ata mara 2 , lbda video kajitahid ila audio nope