Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Nadhani wadau toka sasa mpaka kesho,Mziiki wetu kuna ushindani mkubuwa sana,hii inapelekea Diamond Platnumz kuleta Changamoto katika muziiki,na mashabiki Wa timu mbalimbali mbali na kupelekea kuhitaji wanamziiki wao wafanye vizuri,ilihali hawama pesa za kutosha kunanilii vidio kwa kiwango cha ubora kama #Je Utanipenda??
Kama sio D sijui tungekuwa wapi kwenye tasnia hii ya muziiki,nadhani hakuna ingawaje wengine wanachipukia intaneshinale.Lakini Mond ndo Jibu.
MakeGreatDiamondPlatnumz
DiamondPlatnumz2016
Kama sio D sijui tungekuwa wapi kwenye tasnia hii ya muziiki,nadhani hakuna ingawaje wengine wanachipukia intaneshinale.Lakini Mond ndo Jibu.
MakeGreatDiamondPlatnumz
DiamondPlatnumz2016