Make your house a home

mbalamwehu

Member
Oct 5, 2016
64
16
Ifanye nyumba yako ipendeze, sisi ni mabingwa wa kutengeneza na kurepair sofa aina zote, za chuma na za mbao, pia runatengeneza vitanda vya chuma, mbao na sofa, meza za sofa, makabati, dressing table na vingine vingi, pia ni mabingwa wa kufitisha mapazia, wasiliana nasi kwa
0719532007
6d45e07aa27229437f6bda41df7d139d.jpg
d32021fe3e410abc792b06ff6763b537.jpg
8202ce960640bed022a3d2f18ac20fe4.jpg
ef45a432b7efefb0305bbc2cf3a6c40b.jpg
58e9d780ea45dac0cbc63ad1c46b4c36.jpg
e43e4635c151e5da6eeeb5438071b218.jpg
fbf519cc4ed3c3d1638f5a8b00037aaf.jpg
 
Dah ....safi sana
Ila mngekomaa pia na viti vya mwendokasi, daladala, bajaj, magari binafsi,maofisini na kwenye mabaa.....wanaume wa Dar wanatumia 75% ya maisha yao humo

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom