make sure you observe road signs this christmas......LOLS

make sure you observe road signs this christmas......LOLS

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,715
403230_219972648078046_195709793837665_507879_772777277_n.jpg
 
Inapendeza kuwajali mpka walevi maana na wao wanachangia ktk kukuza uchumi wa kwa kiasi kikubwa tena kushinda hata madini yetu.
 
Hii kali, walevi wa nchi hiyo ni wastaraabu sana. ina maana akiwa mzima anavukia kule kwa kawaida, akishautwika, anatafuta kivuko cha watu wa aina yake, atakumbuka kweli wakati kwa muda huo kila kitu unaona sawa tu.
 
ahaaa hiyo sijawahi kuiona hata mimi aseee duuuuh
 
Back
Top Bottom