Make children realize how beautiful and smart, they are!

Manton

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,164
1,520
Being a parent is one of the greatest reward, that the Most High Creator presented freely, in this world. Since it is a gift then we should do our level best, to inspire and uplift our children, to make them laugh and be happy after realizing how beautiful and smart, they are. But, we may ask ourselves how, and then an answer will be, engage them in reading different books on their own, as sometimes we reach 'on-call inspirers, tireless tutors', for their assistance. On other hand, we provide this service for ten minutes per week days and weekends. Our head office is in Dar es salaam, please call: O756325414, for specific enquiry.
 
Aiseee taarifa hazijitoshelezi kabisa sasa huyo mwanagu atawaelewa kweli ebu jielezeni vizuri mkuu yaani
-Nyingi ni kina nani mpo wapi,nchi,mkoa,mtaa
-Huduma yenu kwa kina, inafanyika vipi kwa mwongozo upi,itamfaa vp mwanagu,mna uzoefu gani na mnacho kifanya,je mna psychology ya watoto up sources.
-Gharama zenu kama zipo.
-mna nini cha ziada.

Amani iwe nawe
 
Asante, mkuu kwa hoja yako. Mzazi, uzoefu wetu katika huduma zetu umeanzia, chuoni, miaka 21 mpaka hivi sasa, ukaendelea katika shule mbalimbali za binafsi, na mwisho tukafungua ofisi yetu na sasa tunaongoza njia ya kuinua mtoto mmoja popote alipo. Tuna toa "inspirational talk" kwa mawasiliano yetu ya simu, dakika 10 tu, na ni bure. Ratiba yetu ya kuitikia wito ni siku zote saba za wiki, tunakuwa ofisini kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa tatu usiku. Ni jukumu letu kuhakikisha mtoto, anazikabili changamoto zote za kimasomo, kiakili. Tumebobea katika neuro- psychology grounds.
 
Ahsanteni sana mkuu lakini pengine niulize tena unafaidika vp na mradi huu Manton
 
Ahsanteni sana mkuu lakini pengine niulize tena unafaidika vp na mradi huu Manton
Mradi huu, upo chini ya uwezeshwaji, wa ndugu na marafiki zetu kadhaa, ambao kwa umoja wao, wamejitoa, kuhakikisha, tunawafikia vijana takribani wote, ambao wana kiu na uhitaji mkubwa wa kusikia sauti ngeni masikioni mwao, isemayo: "...unaweza, umejitahidi, onyesha uwezo zaidi kuliko hapo ulipo, pasipo kujilinganisha na mtu mwingine yoyote yule." Na sisi kwa upande wetu tunawekeza muda wetu katika uaminifu, kuwafikia "giants of abilities" wa kesho, ambao watafanya mambo makubwa na mapya, hapa ulimwenguni, "for being misunderstood from the beginning." kama ilivyo kuwa kwa waliovumbua, taa ya umeme, simu, camera, gari na waliorusha ndege za abiria kwa mara ya kwanza duniani, vitu ambavyo tunavifurahia kwa sasa katika upende wake chanya wa kuokoa muda, ambayo ulikuwa unapotea kabla ya vitu hivyo kuwepo katika uhalisia . Asante.
 
Back
Top Bottom